Hivi wahindi ni washirikina?

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Kila duka la mwindi au wafanyabiashara wenye asili ya ki asia utakuta kuna kichaa/zezeta mlangoni, niliuliza watu wakaniambia hao ni ndg zao na ndio wanaovuta wateja na kuzuia uizi kwenye biashara zao je mwenye kujua hili je nikweli?
 
Unajua nguli haya mambo hayana ushahidi wa wazi mara nyingi.Lakini inasemekana kuwa bara la asia linaoongoza kwa kuabudu miungu mingine tofauti na YEHOVA.Na inasemekana pia kuwa ni wachawi sana.Kwa hiyo pengine ni kweli lisemwalo lipo.
 
Wahindi ni wachawi sana na hawaoni haya kuonyesha uchawi wao dhahiri,
ndo maana hata hirizi hawana haja ya kuzificha kama sisi,
wao wanaziweka wazi.

Hata matambiko na makafara yao wanayafanya mchana kweupeeeeee......
Hebu tafuta mtu mmoja aliyeshuhudia ufunguzi wa jengo la bmtl lililopo victoria...
Show ilikuwa ni uchawi mtupu
 
Hivi Jeetu Patel ni muhindi? kama ni ndio inawezekana watanzania wote katugeuza mandondocha ili afanikiwe kibiashara.
 
Hivi Jeetu Patel ni muhindi? kama ni ndio inawezekana watanzania wote katugeuza mandondocha ili afanikiwe kibiashara.
Inaonekana ndo alichofanya hata akawa na kesi ya kujibu mahakamani kuhusu EPA. Inaonekana watanzania wote (zaidi ya 98%) tulikuwa mazezeta bila kujua kinachoendelea.

Uchawi ni vigumu kuudhibitisha ila upo.
 
Mimi mwenyewe nimewahi kuhudhuria makafara yao na uchawi wakati fulani nahangaikia kazi.ilikuwa ni kiwanda cha nguo wanafungua pale urafiki.sasa wakamleta mganga wao na sisi wakatuita eti kwa vile ni sehemu ya wafanyakazi wao.Kwa kweli mie nilikimbia mazindiko yao nikatoka nje nikawaacha wanaendelea.
 
Hivi Jeetu Patel ni muhindi? kama ni ndio inawezekana watanzania wote katugeuza mandondocha ili afanikiwe kibiashara.

Ha ha ha ha, umeniacha hoi sana, hivi tunaeza kuwa tumelogwa nini?
 
Ha ha ha ha, umeniacha hoi sana, hivi tunaeza kuwa tumelogwa nini?

mimi siwaamini kabisa hawa wahindi,unajua zile dizaini za wale mazezeta yao ndio tumekuwa hivyo hivyo, tunachoweza kufanya ni kuwaingizia hela mara unasikia jeetu anakesi kisutu mara kashinda tenda ya kuagiza matrekta ya kilimo kwanza na watu bado tuna endelea tu kumchekea, ulisikia yale ku finance harusi ya mzee tingatinga?
 
Wahindi washirikina wa kutupwa, lakini ukiwa na imani dhabiti hawafui dafu.Shika sana imani yako na huwezi kusumbuliwa na chochote kile.
Mwaka jana nilienda India kwa shughuli zangu za kibiashara.
Katika tafuta tafuta mwenyeji wangu, mhindi,akanipeleka ofisi ya mchonga mawe niliyokuwa natafuta.
Ofisi hii ilikuwa inatisha kidogo na mwenye ofisi alikuwa na nywele nyingi sana na uso wa kutisha.
Mimi nilitikisika kidogo lakini baada ya muda nikamtazama directly usoni na kumkazia macho huyu mjamaa wa minywele.Nilijua hili ni zoezi la intimidation.
Huyu minywele baada ya kujibaraguza sana na tuka toka nje nikamuuluza una umri gani.Akajibu ooh mi mzee sana, bado nikamuulizia umri wake tena.
Akaniambia "I am ver ver oould, I am pipty yaz"
Nikacheka nikamwambia wewe bwana mdogo sana I am "pipty tu"
Jamaa akanywea na kuishiwa nguvu.
SOMO: hata wakiwa na uchawi, nguvu iliyomo ndani yako ni kubwa zaidi.
 
Audio kidogo basi tusikie unavyo tamka ''i am ver ver oould, I am pipty Yaz'' pipty tu'
 
Dah kuna muhindi karibu na DTV nilimshuhudia asubuhi mlangoni dukani akipasua nazi
 
Labda ndio maana ni wachafu sana sababu ya ugagu.hivi mnajua wahindi ni wachafu sana,huko kisutu mkuone hivihivi yani ukija kuishi huku nakwambia utashindwa,bora manzese.
 
waasia na waarabu wote ni ushirikina tu,ila nguvu iliyomo ndani yako ina uwezo zaidi ndio maana waarabu walimlaani sana bush na kuswali na kumsomea albadri lakini hawajafua dafu,si unaona jinsi rostam alivyo iweka nchi mfukoni mwake hata jk haambiliki hasikiki kuhusu lostam kibaya zaidi inaonekana kesha mwambukiza lowasa................
 
kwa nini uchawi umekuwa siri kali sana.........kwani kuna hasara gani kwa kila mtu kujua uchawi?
 
bora kujua kidogo kuliko kutojua kabisa.......................
 
Back
Top Bottom