Hivi wadada wana nini?

Kuna baadhi ya dada wapo hivyo pia wanadhani mapenzi ni pesa....na ni lazima wanunuliwe gari, kujengewa nyumba na vikolombwezo vingine. Hawajui kama kunapokuwa na penzi la kweli Mwanaume anaweza kufanya ypte hayo bila hata kushinikizwa ali mradi tu mfuko wake unamruhusu.


Ni kweli kabisaaa wala sikubishii na kuna wadada wengine wanadiriki kusema "Loh! mwanaume Mbahili huyu..kama ananipenda mbona hajanifanyia hivi"..ila kwa case ya swali la huyo bwana, yeye kaongelea zaidi wadada wakoje..kama vile ka-generalize..ndo maana nikajibu vile.
 
akina baba
wacheni urongo
ziambieni nafsi zenu ukweli
ili tupate suluhisho la sie kuliwa na vibajaj
vinginevyo, tutaviosha, tufute kamasi, tuvisugue magamba ya miguuni afu tuvile.

Nikitembea na rafiki yako aibu
nikitembea na mfanyakazi mwenzangu skendo
 
you can not substitute sex fr anything...kama mzee hamsugui ipasavyo atatoka tu...tuwre wabunifu na creative kitandai or else tutaibiwa wake kijinga
 
Kwani ukimgharamia mtu ndio nini?
Nyie ndo wale mnaodhani mapenzi yananunuliwa, mnachonunua ni mahusiano na sio mapenzi.Mapenzi ndo hayo wanapewa wasio hata na mawazo ya kujaribu kuhonga.
Vipi kuhusu wanawake ambao hawafiki kileleni ( si kwa sababu hawajafikishwa na wanaume ) labda umri n:k, huyu atakuwa na mapenzi gani zaidi ya kuiga analoona wengine wanafanya?

Nina ushaidi kuna wanawake hawajui radha ya ku do, na mmoja ni rafiki yangu wa kike (sio demu wangu)huwa tunazungumza friendly nimemshauri kwa muda mrefu ajaribu kumpenda mwanaume azilete filings zake kwa mwanaume ambaye ni Best yangu atimaye nimefauru na wanatalajia kufunga ndoa Janualy, ushuhuda alionipa huyu dada ambaye ni rafiki yangu wa kike ( sio demu wangu ) ni kwamba alikuwa anakuja kwa jamaa kwa sababu ya Mshiko tu, na uhusiano wao sasa ni miaka 7, je kunakuwa na tatizo gani hapo hapo?
Hii mada ni pana kwa sababu inanihusu kwa % nyingi huwa nacomfuse.
 
Ndoa sio nyumba magari na pesa,
Mwanaume hasifiwi pesa wala utajiri na mkewe,
Mwambie huyo mwanaume arejee mafundisho ya ndoa,aache kulalamika hovyo,
Hapo anajiabisha mwenyewe,kazi imemshinda vijana wanaonyesha ujuzi kwa mkewe.

Nini sababu ya mtu kucheat?
 
Nini sababu ya mtu kucheat?
...sababu inatokana na mtu anachokipata kutoka kwa Mume/mke/mpenzi wake in terms of love (romantic) and care...kama kina kidhi hakika hamna sababu ya ku cheat thats wahy wanao cheat woooote sababu kuu ni kuwa wanakosa vitu hivi muhimu kutoka kwa wapendwa wao..vionekanavyo kwa macho (mali na vinginevyo) ni vya ziada sana..
 
chezea love wewe!hvyo vyote c ki2 kma huridhishwi ufanyaje kwan m2 kafata v2 vyake au kamfata yeye
 
rekebisha kauli hapo kumfany chchte nyia pia ni wadhaifu vilevile ninapokuw kwny 6 6 nawez kukufany chchte mm naweza kujizuia ila ww huwezi jinc unavyokuw unahali mby hata nikikuomb kali 2 utaitoa ili 2
 
Huyo huyo ndio ungemuuliza ana nini! Wengine tuna mabusara yetu humu. Lol!
 
you can not substitute sex fr anything...kama mzee hamsugui ipasavyo atatoka tu...tuwre wabunifu na creative kitandai or else tutaibiwa wake kijinga

Si ndio maana houseboys na wauza mbogamboga majumban wanawasaidia. creativity matters alot guyz kma hujui mambo utaonga sana afu holaa.
 
Back
Top Bottom