Hivi wadada wana nini?

Ndoa sio nyumba magari na pesa,
Mwanaume hasifiwi pesa wala utajiri na mkewe,
Mwambie huyo mwanaume arejee mafundisho ya ndoa,aache kulalamika hovyo,
Hapo anajiabisha mwenyewe,kazi imemshinda vijana wanaonyesha ujuzi kwa mkewe.
 
  • Thanks
Reactions: BPM
tatizo nyie wanaume makosa yenu hamyaoni ila ya wadada ndo mmeyakazania shame upon u all ummezidi ku2kandamiza ss wa dada loooooo
 
Fanya hivi... uone
One night average of 5 to 6... maandalizi 20 to 30 minutes
 
Ndoa sio nyumba magari na pesa,
Mwanaume hasifiwi pesa wala utajiri na mkewe,
Mwambie huyo mwanaume arejee mafundisho ya ndoa,aache kulalamika hovyo,
Hapo anajiabisha mwenyewe,kazi imemshinda vijana wanaonyesha ujuzi kwa mkewe.

haya ndio matatizo ya kusimika mizizi wa mchicha kwa mtu wako, watu wanakung'oa kwa mikono tuu...
inatakiwa ukikamata kazi unaweka mizizi ya mkuyu/mbuyu, hapo kung'olewa si rahisi...
 
Unamkuta mdada amegharimiwa kila kitu na mpenziwe au mumewe; Nyumba, gari, vifaa vya ndani, pesa za matumizi ukaribu na maufundi ya kila aina. Kesho keshokutwa unamkuta anatembea na house boy au Dereva wake au pengine hata mchota maji au mfyeka nyasi wa nyumbani,
Mna nini jamani?
Hii imetokea mtaani kwetu jana tu!!

kwa taarifa yako wanaotoa vitu kama hivyo, wanasababu zao, kwanza hawana muda wa kuwa na wapenzi wao na wengi niwavivu hata kwenye 6x6, wanatumia material kama love protection, wakisahaukuwa sexual desire can only be satisfied by sex, ndo maana wanakuwa na mkono wa pili just for pleasure.
 
Atleast wangekuwa wanaishia kwa housegirls tu, mpaka mabinti zao wanatembea nao!!! Nyumbani kazi yao ni kuacha tu kodi ya meza, kujaza mafuta kwenye gari then haoo wanachikichia as if wife alifata hayo magari. Kurudi penyewe usiku wa manane..........mbona watajibeba!!!

hizi sasa ni hasira za waziwazi
 
tatizo nyie wanaume makosa yenu hamyaoni ila ya wadada ndo mmeyakazania shame upon u all ummezidi ku2kandamiza ss wa dada loooooo

toa hoja kupinga hoja iliyopo mezani, kusema kuwa wanaume wanawakandamiza haiondoi hiyo dhana ya udhaifu wa mwanamke unaoongelewa hapa.
 
Lizzy samahani naomba unielimishe kuhusu tofauti ya haya maneno. Mapenzi na mahusiano.
 
Kuna mambo mengi sana yanajiri ndani ya nyumba za watu hasa pale baba anapopata kimada nje, anasahau kabisa familia na huyo mwanamke ni mwanadamu na ana feeling anaona pa kupone ni hapo.

Japo sio tabia nzuri pia/
 
Are you sure?? Hivi kwanza unasemea wanawake wa aina gani?? Or are we talking of sex hookers hapa?? Jisachi.............

Namshanga??!!! kujisachi haisaidii AJIPEKENYUE then arudi hapa....

Mwanamke ambae anaridhishwa na "kila" anachopewa na mwanaume wake hawezi kufanya hivyo, na endapo anatimiziwa kila kitu basi ujue huyo ana pepo la ngono au kama jamaa ni ka-boifren then bibie alikuwa akimchukulia kama ki-buzi....wanaume wengine wanadhan kipande cha ku-show love nikutumia pesa juu ya mdada wakati kuna vitu kama hisia vinatakiwa kuwa involved pale...ndo maana utakuta akitokea kaka wa kawaida tu lakini anaweza kuya-handle mapenzi ipasavyo aaaaaaah..fasta mdada anahama... So kwa hicho kisa kilichotokea mtaani kwenu lazima kutakuwa na walakin kati yao hao.
 
mapenzi sio pesa ingawa pesa ina umuhimu kwenye mapenzi. Katafakari haya utapata jibu

Umeona eeeh....! kuna baaadhi ya wanaume hawajui hilo,wame-krem kuwa ili mdada aamini anapendwa lazima anunuliwe gari nk....bila kujua anaruka step..
 
Umeona eeeh....! kuna baaadhi ya wanaume hawajui hilo,wame-krem kuwa ili mdada aamini anapendwa lazima anunuliwe gari nk....bila kujua anaruka step..

Kuna baadhi ya dada wapo hivyo pia wanadhani mapenzi ni pesa....na ni lazima wanunuliwe gari, kujengewa nyumba na vikolombwezo vingine. Hawajui kama kunapokuwa na penzi la kweli Mwanaume anaweza kufanya ypte hayo bila hata kushinikizwa ali mradi tu mfuko wake unamruhusu.

Last edited by a moderator:
Unamkuta mdada amegharimiwa kila kitu na mpenziwe au mumewe; Nyumba, gari, vifaa vya ndani, pesa za matumizi ukaribu na maufundi ya kila aina. Kesho keshokutwa unamkuta anatembea na house boy au Dereva wake au pengine hata mchota maji au mfyeka nyasi wa nyumbani,
Mna nini jamani?
Hii imetokea mtaani kwetu jana tu!!

kaka mapenzi siyo magari na pesa. mapenzi ni kulizishana , na kikubwa ni intimacy. sasa kama mtu anagawa pesa na gari in place of intimacy,,,,, aagh. hiyo si sawa
 
Kwetu Iringa tunaweka Lutambulilo (tego), ukichomeka tu huchomoi mpaka nije mwenyewe. Hivyo hatuna wasi wasi wa kumegewa hata siku moja
 
Back
Top Bottom