Hivi wadada wana nini?

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,566
Unamkuta mdada amegharimiwa kila kitu na mpenziwe au mumewe; Nyumba, gari, vifaa vya ndani, pesa za matumizi ukaribu na maufundi ya kila aina. Kesho keshokutwa unamkuta anatembea na house boy au Dereva wake au pengine hata mchota maji au mfyeka nyasi wa nyumbani,
Mna nini jamani?
Hii imetokea mtaani kwetu jana tu!!
 
ndivyo walivyoumbwa ni viumbe wadhaifu sana ndo maana unapokuwa 6/6/ unaweza kumfanya kitu chochote bila kukataa. Nashut down
 
Vipi kuhusu wababa kutenbea na housegirls; haiumi eeh?
 
vipi na wale wanawake wanaokuwa waaminifu katika ndoa zao (wapo matajiri na maskini) huwa wanapewa nini na waume zao!? sio kama nawatetea ila inafika mahali na sisi wanaume tujiulize pia kwa nini mkeo atoke nje ya nyumba..!? kwa nini mkeo...mbona sio wanawake wote..!!? maana nijuavyo mimi ndoa ni zaidi ya hizo nyumba na magari na vitu vingine vya kifahari...!!
 
Ni kwel kwmba wao ni wadhaifu lkn wakat mwngne ni tamaa zao@Unapoxema kwmba ukwa 6/6/ unaweza kumfanya chochote unamaanisha nn?
 
ndivyo walivyoumbwa ni viumbe wadhaifu sana ndo maana unapokuwa 6/6/ unaweza kumfanya kitu chochote bila kukataa. Nashut down

Are you sure?? Hivi kwanza unasemea wanawake wa aina gani?? Or are we talking of sex hookers hapa?? Jisachi.............
 
Vipi kuhusu wababa kutenbea na housegirls; haiumi eeh?

Atleast wangekuwa wanaishia kwa housegirls tu, mpaka mabinti zao wanatembea nao!!! Nyumbani kazi yao ni kuacha tu kodi ya meza, kujaza mafuta kwenye gari then haoo wanachikichia as if wife alifata hayo magari. Kurudi penyewe usiku wa manane..........mbona watajibeba!!!
 
Binadamu hataishi kwa mkate pekee.... Fikiria, mahitaji ya binadamu hayaishii kwenye nguo na chakula..... Anachopata kwa houseboy ndio kakosa kwa aliyempa gari,nyumba n.k

THINK OUTSIDE THE BOX...
 
hapo ndipo wanamme hukosea, eti nyumba, magari na pesa, aliyekuambia tunatoka kwa wazazi wetu kufuata hivyo ni nani?
Kama kula umemkuta mkeo anakula, anavaa, anasafiri, na analala ndani

weka heshima usiku uone kama mkeo ataliwa na vibajaj.
 
mambo ya nje ya box hayo itabidi wawe wanakamtiana pamoja na kwenda sahamu tofauti na nyumba yao
 
Unamkuta mdada amegharimiwa kila kitu na mpenziwe au mumewe; Nyumba, gari, vifaa vya ndani, pesa za matumizi ukaribu na maufundi ya kila aina. Kesho keshokutwa unamkuta anatembea na house boy au Dereva wake au pengine hata mchota maji au mfyeka nyasi wa nyumbani,
Mna nini jamani?
Hii imetokea mtaani kwetu jana tu!!
ukiona ivo ujue huyo mmiliki hayawezi mambo
 
Kwani ukimgharamia mtu ndio nini?
Nyie ndo wale mnaodhani mapenzi yananunuliwa, mnachonunua ni mahusiano na sio mapenzi.Mapenzi ndo hayo wanapewa wasio hata na mawazo ya kujaribu kuhonga.
 
Back
Top Bottom