Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,791
- 71,194
Ziko sifa kadhaa ndogondogo za kumfanya mtu aweze kuchaguliwa na wananchi kuwa Rais wao. Lakini kubwa sana zenye ushawishi kwa watu kuweza kumchagua mtu ni hizi hapa;
1. Historia ya utumishi uliotukuka,bidii na maarifa katika majukumu ambayo alikwisha wahi kupewa na taifa lake.
2. Uwezo wa kujenga hoja na kuitetea na kuitekeleza bila mashaka.
Haya Ndio hasa yanawavuta watu kumchagua mtu awe kiongozi wao. Sass mbona JK sifa hizo Hana na bado chama chake kikamteua na watu wakamchagua? Tuweke mbali suala la uchakachuaji matokeo, bado kuna waliompa Kura kwa ridhaa kabisa, jee mini kiliwavuta kumchagua?