Hivi viongozi wa dini mnatupeleka wapi jamani?

mataka

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
286
61
Jamani toka vuguvugu la uchaguzi lianze mpaka linaisha tumeshuhudia viongozi wetu wa dini wakijiingiza kwenye ushabiki wa siasa mambo ambayo me ninahisi hayawahusu, rejea uchaguzi wa meya arusha na kauli za mufti kuhusu chadema yani wanajipambanua waziwazi dini gani ni cdm na ipi ni ccm. Hivi hawajui waumini wao tupo wafuasi wa vyama tofauti? Mbona wanataka kutugawa? Eti wana jf wenzangu kwa nini vya kaisari wasimpe kaisari na vya Mungu wakamwachia navyo? Hebu nisaidieni kwa hili manake nashndwa kujua nimfate kiongozi wangu wa dini ambaye kwangu ni kioo na namtegemea kunifunza yalo mema au nishike hamsini zangu?
 
Subirini Viongozi wa Makabila wakianza kushughulikia hali mbaya ya Maisha; Wasukuma Waanze kulalamika Dhahabu zao zinakokwenda
Wanyakysa waanze; Wamasai wadai ardhi; wachagga wanyang'we biashara zao - then all of you guys will start remembering Julius Kambarage Nyerere -- Ulafi wetu utatumaliza JK was right!!!
 
Back
Top Bottom