Hivi uyu jamaa ana undugu na diamond??

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
eti wadau uyu jamaa ni kaka yake diamond tumbo moja??
diamond.jpg
 
asigwa acha utani bwana...unauliza swali wakati jibu unalo....huyo jamaa mbona kafanana sana na wewe hasa mdomoni na hy kofia ndiyo niliyokuona nayo siku ya pasaka...kwani ww diamond ni ndugu yako?
loading.....................
 
Duh!!!!! Umenikumbusha siku tulukuwa twapiga story za diamond jamaa mmoja akasema mdomo wk kama .... Iliyofanyiwa opereshen ya festula,,,, mi nilisikitika sana kabla ya kuguna,,,,,ugonjwa hatar
 
Back
Top Bottom