Hivi utaacha lini hiyo.................

.....>tabia ya kumlazimisha mkeo kutafuta mabeki tatu warembo?.......>tabia ya kuwaonea wivu mbwa wanapofanya mapenzi?.......>tabia ya kuiga style ya dog ya kufanya malovey dovey?
 
Tabia ya kupenda kupekuapekua simu ya mpenzi wako, utapata presha siku, shauri yako!
 
Tabia ya kucheka unapochekeshwa...kulala unaposikia usingizi...kula unaposikia njaa...
 
.....Tabia ya uko njiani ukielekea kujiuwa kwa kamba halafu unakutana na simba au chatu njiani unatoka mbio huku ukilia.........
 
.....tabia ya kukaa kibarazani kubishana kuhusu nani ni tajiri zaidi hapa Tz wakati nyinyi wenyewe ni maskini wa kutupwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom