Hivi ushawahi mchukia mtu?

Mimi kwa upande wangu nishawahi kumchukia mmama mmoja ambaye alikuwa analeta maneno ya uongo kwa mama yangu, kuwa kijino anawanaume ni malaya, kipindi hicho nipo form 1 hata wanaume cwajui, yani nilimchukia, ckuongea naye mpaka anafariki, na hata kwenye mcba ckuenda, ingawa alikuwa ni family friend, ingawa kuna wengine bado nawachukia mno, vp wewe mwana jf, kuna mtu unayemchukia mno?

View attachment 65058

Kama huyu alivyomchukia mkewe
 
mimi sio mtu wa kumchukia mtu kiurahisi, lakini katika maisha yangu yote kuna mtu mmoja tu hapa duniani namchukia na nimekua namchukia kwa zaidi ya miaka 10 na wakati mwingine hua namuota(nightmare) kuhusu yeye nimejaribu kusali nimsamehe lakini nimeshindwa.

nani huyo? !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom