Hivi ushawahi kubishana na mtu mwenye kithembe?

Nakupa LiKe 4, zidai kwa mods.

Nimecheka hadi machodhi.

ccm walienda kwenye kampeni kule usangi kwa wapale. wakakuta watoto ndo wapo mkutanoni ikabidi wawaulize "mama zenu wapo wapi"? wakajibiwa; "thithithithi ndo mama dhao thithithithi ndo baba dhao thithithithi ndo watoto dhao thithiemu oye...!!" viongozi wa ccm wakabaki wanashangaa!
 
siyo uongo, ni kweli
alipata tu homa na macho yakageuka hadi leo
kama huamini jaribu uone.

mamndenyi atha kutudhanganya..makengedhaa aiwedhi kuja gafla. thamahani thana kama nimekukwadha.
 
watu8 umekothea kuandika kichwa cha thread, ilibidi kiwe : hivi uthawahi kubithana na mtu mwenye kithembe??
 
msipende kutania walemavu,
kuna mtu alikuwa anamcheka makengeza,
baada ya muda tu mtoto wake macho yaligeuka
ghafla na akawa kengeza hadi leo.

mara nyingi watu hawachukulii kithembe au kigugumizi kuwa ni ulemavu ndo mana watu inawawia rahisi kutania wenye hali hiyo
 
Back
Top Bottom