Hivi unaweza kumpata Mpenzi bila kutumia Fedha?

kuingilia mapenzi ya watu aisee ni ngumu,na ctaweza kabisa! hata hivyo analalama tu lakini karidhika mana ni wachumba kwa 3yrs na cku zote anamuhudumia kwa hilo Kaizer....


hahaha , miaka mitatu uchumba gani huo au ndo 'uchumba sugu' umeshakuwa? kwa nini wasichukuane kijumla kama wameshibana ki ivyo? mark my words uchumba unaweza kuishia 'hewani'.....mi kwangu hiyo ingekuwa kero namba moja...honestly huwa anampigia nani hasa kama mi niliuetia hela naishia kubipiwa, usinambie inatumika kikazi...lol
 
hahaha nimewaona sana wazee wa design hii wengine yaani hao mabinti ni wajukuu zao kabisa utaona mzee pension yake anamalizia kwa vibinti kuna mzee kule kwetu kauza nyumba 10mil zimeshia kwa vibinti kibaya zaidi anashika pembe duh

wengine wanakamua na kunywa maziwa......hahahaha dogo apo umenikumbusha mbali kweli,,, uyo binti inaonyesha amegraduate kwenye mambo ya uchunaji!
 
wengine wanakamua na kunywa maziwa......hahahaha dogo apo umenikumbusha mbali kweli,,, uyo binti inaonyesha amegraduate kwenye mambo ya uchunaji!

hehehe mkuu yule shori kamkamua mzee wa watu mpaka aibu mkuu yeye fikra zake auze nyumba anunue kiwanja cha bei poa Bonyokwa huko matokeo yake akazama kwa sister duu weweeee kila siku bia na nyama choma unategemea nini hapo?
 
Back
Top Bottom