Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

Kikwete na Rz 1 ni watu hatari sana tofauti na mzalendo babu yetu Nyerere. Rz1 mwaka miaka mitano tu ya uongozi wa baba yake katawala kama Seif al Islam. Ipo siku watakimbia nchi hii
 
watu wanamshangaa bure rizone kuwa mwizi..kwa wanaomjua mtoto mwengine wa Jk anaeitwa Miraji huyu havuti tu huo unga lkn hana tofauti na mteja wa unga.dogo anaiba briefcase ya mshua wake imejaa dollars halafu anapitia masela wake haooo wanajikataa zao Dubai kula bata na shoping ya blackberry kila mmoja haupiti hata mwezi unamkuta mitaani nguo zimejikunja anashinda tu maskani anaogopa kwenda kwao...Nnachoshangaa mm inakuaje Jk anakuwa na briefcase iliojaa dollars home!!??manaake alishawahi kuiba pesa cash yenye thamani ya sh 250 million na hii sio mara ya kwanza wala ya pili..KWAHIO HAWA WIZI NI ASILI YAO JK MWIZI,RIZONE MWIZI NA MIRAJI PIA MWIZI <STRONG></STRONG>
Kweli jf ni kiboko duh! hii ni kweli kabisa inatokea kwa mzee wa nji hii, nakumbuka kwenye miaka ya 2002/2003 Miraji alitandika milioni 85 kutoka home kwao waandishi wakamwendea mshua wao ku balance story, akawakatia laki tano ili wasiandike ishu hiyo!. Ni kweli mzee anaweka mkwanja mrefu ndani ya home yake sijui ana ugomvi na mabenki au ndio hizo za magumashi!!
 
Nikirejea kidogo kipande cha msanii wa kizazi kipya Roma kuwa Sasa hivi Ridhiwani hafanani Makongoro.

Hawa wote wawili ni watoto wa Maraisi.Nikianza na Makongoro Nyerere namjua kuwa ni mtoto wa Marehemu Baba wa Taifa,ambae kidogo alitaka kufata nyayo za Baba yake lakini hakufika mbali.

Ridhiwani ni mtoto wa Raisi Jakaya Kikwete wa awamu hii ya Nne,Ni kijana nae anaefata nyayo za baba yake kwenye Medani za kisiasa ndani ya nchi.

Swali langu ni hili,nini kinawafanya hawa wasifanane.?
Ni sababu ya kuwafanya hawa watoto wa wakubwa kuwa kwenye level tofauti.?

Je kielimu,kiuchumi,kimaadili,kimtazamo na kifikra..unawazungumziaje?

Kuuliza si Ujinga.
 
kila tu anazaliwa na sifa zake na tabia zake ingawa zipo tabia zile za kuijifunza kutoka katika jamii unayoishi. kwangu mm kuwafananisha makongoro na ridhiwani ni sawa na kufananisha masomo mawili tofauti like bioliogy na history.
 
Biology na history...hapa ni hadithi na viumbe hai.
 
anyway sijui kama umenielewa huwez ukalinganisha ufaulu ama uelewa wa wanafunzi kwenye masomo mawili tofauti hata siku moja.. hili ni kosa na ndio maana waliosoma ualimu labda wanaweza kukuelewesha zaid kwamba ni 2 un comparable items. like wise kulinganisha watu 2 tofauti ambaoa hawako kwenye era moja, na wamekulia tofauti na kukutanishwa na entity moja tu ya utoto wa rais its bogus idea.
 
Makongoro na Madaraka Nyerere ni watoto wa mtu mmoja na hata hawafanani, tofauti yao ni kubwa, sembuse makongoro na ritz!
 
anyway sijui kama umenielewa huwez ukalinganisha ufaulu ama uelewa wa wanafunzi kwenye masomo mawili tofauti hata siku moja.. hili ni kosa na ndio maana waliosoma ualimu labda wanaweza kukuelewesha zaid kwamba ni 2 un comparable items. like wise kulinganisha watu 2 tofauti ambaoa hawako kwenye era moja, na wamekulia tofauti na kukutanishwa na entity moja tu ya utoto wa rais its bogus idea.

Nimekusoma mkuu
 
Nikirejea kidogo kipande cha msanii wa kizazi kipya Roma kuwa Sasa hivi Ridhiwani hafanani Makongoro.

Hawa wote wawili ni watoto wa Maraisi.Nikianza na Makongoro Nyerere namjua kuwa ni mtoto wa Marehemu Baba wa Taifa,ambae kidogo alitaka kufata nyayo za Baba yake lakini hakufika mbali.

Ridhiwani ni mtoto wa Raisi Jakaya Kikwete wa awamu hii ya Nne,Ni kijana nae anaefata nyayo za baba yake kwenye Medani za kisiasa ndani ya nchi.

Swali langu ni hili,nini kinawafanya hawa wasifanane.?
Ni sababu ya kuwafanya hawa watoto wa wakubwa kuwa kwenye level tofauti.?

Je kielimu,kiuchumi,kimaadili,kimtazamo na kifikra..unawazungumziaje?

Kuuliza si Ujinga.

- Makongoro ni Soldier na Mbunge wa EAC, Ridhiwani ni Mwanasheria wa Binafsi na Mjumbe wa NE/CCCM -Taifa, kila mmoja ana mke na watoto, kiuchumi Mwanajeshi hawezi kuwa sawa na Mwanasheria wa Kujitegemea.

le mutuz
 
I knew you had something to say kwa sababu kujikomba ndio dawa yako . Mabebs wa Ukweeee kama vipi
 
Le mutus jibu wewe na Fredy Lowasa mko sawa? Nyote si watoto wa ma PM wastaafu? Tena wewe zaidi ni mtoto wa makamu wa rais mstaafu kwa wakati kama sijakosea. Pili wewe umefaidi sana benefits za waziri mkuu kwani mlimaliza kipindi kizima bila baba kulazimishwa kujiuzuru. Haya tamka ki ukwasi na kimtazamo mnatofautianaje na Fredy?
 
- Sijakuelewa unachosema Fred ni mfanyabisahara wa siku nyingi sana mimi ni Baharia, sasa tunakuaje sawa kiuchumi, nina marafiki wengi sana hapa mjini niliokuwa nao ambao toka zamani ni wafanya biashara sifanani nao, my super best friend anamiliki ile Mall pale karibu na Mwalimu Msasani, na baba yake sio kiongozi ila yeye toka zamani ni mfanya biashara,

- Mambo unayoyataka kuyasema bila usahhidi ni majungu at best bro!!

le mutuz
 
- Makongoro ni Soldier na Mbunge wa EAC, Ridhiwani ni Mwanasheria wa Binafsi na Mjumbe wa NE/CCCM -Taifa, kila mmoja ana mke na watoto, kiuchumi Mwanajeshi hawezi kuwa sawa na Mwanasheria wa Kujitegemea.

le mutuz

mutuz kama kawaida ya kujikomba,usiwe na wasiwasi ridhiwani atakupa something ...ukuu wa wilaya au ukuu wa mkoa.maana naona umeamua kuwa mwanasheria wake,tofauti ya ridhiwani na makongoro ni baba zao kwanza,nyerere alikuwa kiongozi muadirifu na kikwete ni kiongozi mwizi....sasa watoto wao nao ni hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom