Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

PAMBA1

Member
Sep 13, 2011
55
26
Leo ni siku ya kumbukumbu ya hayati baba yetu mpendwa wetu mzee wetu babu yetu mwl Jk Nyerere nilikuwa home asubuhi najaribu kutafakari na kupitia vitabu alivyoandika Mwl Nyerere nikiwa nasoma kuna wazo likanijia eti jamani tukisema tuwalinganishe watoto wa marais wetu wote waliopita.

Je utakuta watoto wa rais gani watakuwa bado ni watu wa kawaida na wazalendo wa kuipenda nchi na watanzania wote. Nikatamani nimlinganishe Ridhi one Kikwete na Makongoro Nyerere ni yupi ambaye anaweza kuwa na maadili ya kuipenda nchi yake kwa maana ya kujilimbikizia mali na kujivunia cheo cha wazazi wao.
 
we acha tu! nazidi kupata hasira sijui tunajenga taifa la namna gani kijana huyu anautajiri usioelezeka na hakuna anayeelewa fedha nyingi kapata wapi hata kama akichukua mshahara wa baba yake wote na marupurupu yake hastahili kuwa hapo alipo.mbaya zaidi maskini tumekuwa watu wa kuzibwa midomo tu lakini ipo siku sauti zetu zitasikika kama si zetu basi za wajukuu zetu very shame!
ni aibu kwa kiongozi wa nafasi kubwa kama hii kuwa na mtoto ambaye mali zake hazielezeki kihurahisi.
huyu lizi one ni kwa nini asikike kuzidi watoto wa maraisi wengine akiwa na umri mdogo chini ya 40yrs?! haya bana
 
Mwl alikataa kata watoto wake wasiingie kwenye System ndo maana hadi leo hawana pa kushika, wanafedha za kuendesha maisha tu. Nadhani mwl alijua akiwaruhusu wachangamkie dili wangemharibia. Sasa Vasco amemruhusu Riz kuingia kwenye system na amekwapua mihela kweli kweli, kila kona dogo amedominate ila siku zaja atafanywa kama watoto wa Gaddafi.
 
Jibu unalo ila unataka kupoteza muda wa watu tu hapa
hawafanani kwa mambo mengi ntakutajia kadhaa
-umri wao
-umri wa baba zao
-umri wa mama zao
-umri wa wake zao(hop wote wameoa)
-umri wa watoto zao
-rangi ya ngozi zao
-makabila yao
-mali wanzomiliki
-unaarufu wao
-mchango wao ktk jamii
-busara za baba zao
WADAU WATAENDELEA KUTOA TOFAUT NYINGINE
 
Hiyo ni sawa na kulinganisha malaika(MAKONGORO) na IBILISI MKUU (RIZI ONE).You cant compare JIZI ONE(RIDHIWANI) with Makongoro Nyerere
 
Wakuu kuwalinganisha inawezekana kabisa kwa mtazamo wangu. dunia hii kila kitu kinaweza kulinganishwa na kingine, hilo linawezekana kabisa, why not?

Na kama ukilinganisha mabaya na mema, nadhani Makongoro anamzidi Riz1 kwa kuwa mzalendo wa nchi yake.
 
Leo ni siku ya kumbukumbu ya hayati baba yetu mpendwa wetu mzee wetu babu yetu mwl Jk Nyerere nilikuwa home asubuhi najaribu kutafakari na kupitia vitabu alivyoandika Mwl Nyerere nikiwa nasoma kuna wazo likanijia eti jamani tukisema tuwalinganishe watoto wa marais wetu wote waliopita.

Je utakuta watoto wa rais gani watakuwa bado ni watu wa kawaida na wazalendo wa kuipenda nchi na watanzania wote. Nikatamani nimlinganishe Ridhi one Kikwete na Makongoro Nyerere ni yupi ambaye anaweza kuwa na maadili ya kuipenda nchi yake kwa maana ya kujilimbikizia mali na kujivunia cheo cha wazazi wao.

Mkuu kwanza siwezi sema kuwa uzalendo wa mtu unapimwa kupitia kutokumiliki mali au kumiliki mali,tatizo la msingi ni je hizo mali umezipataje? Kupitia hili la namna ulivyozipata mali ndipo nataka kuwafananisha Makongoro na Ridhiwani,kimsingi Makongoro anapata credit kwa namna ambavyo ajatumia uwepo wa baba yake pale ikulu kusomba mali za watanzania,lakini hili nadhani limepata nguvu zaidi kutokana na hulka ya Mwl Nyerere ya kutopenda makuu...tofauti na JK ambaye anapenda starehe na maisha ya juu,na kwahiyo hata watoto wake nao wamechukua tabia hii kabisa..na wanachota mali za watanzania kwa pamoja....
 
Huwezi kumlinganisha Makongoro na Riz1 in any way, wanachofanana ni kuwa wote ni wanaume, ni watoto wa marais na ni binadamu, the rest ni kichefuchefu!
 
Makongoro shujaa na ana uthubutu alishawahi kuwa mbunge a.town- nccr. SASA HUYU RIDHIWANI MNAFIKI, MDINI, MKABILA, MBAGUZI, TOTO FISADI ANATUMIA MGONGO WA BABAYE KUJIONA KUJINUFAISHA NA SIASA ZAKE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII WAPI NA WAPI. RIZI1 NI BONGE LA KILAZA.
 
Jibu unalo ila unataka kupoteza muda wa watu tu hapa
hawafanani kwa mambo mengi ntakutajia kadhaa
-umri wao
-umri wa baba zao
-umri wa mama zao
-umri wa wake zao(hop wote wameoa)
-umri wa watoto zao
-rangi ya ngozi zao
-makabila yao
-mali wanzomiliki
-unaarufu wao
-mchango wao ktk jamii
-busara za baba zao
WADAU WATAENDELEA KUTOA TOFAUT NYINGINE

Umetoa tofauti za kimasaburi na sio za kushirisha ubongo
 
Back
Top Bottom