Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,440
- 25,582
Amina amina...hii movement haishikiki ni mvt kutoka patakatifu.
Kwa muda mrefu sasa CHADEMA imekuwa inahamasisha washabiki/wapenzi wake kujiunga na M4C, au Movement For Change (kwa kiingereza). Wakati mwingine wanaona kwamba jambo lao fulani limefanikiwa, basi ni kutokana na nguvu ya M4C, na kadhalika, na kadhalika......... Baada ya kuambiwa kuwa huko Uingereza (UK) kuna chama kinachoitwa Movement for Change ambacho pia kinatumia kifupisho cha M4C nikashawishika kuona kama kuna uhusiano wowote na CHADEMA.
Baada ya kusoma tovuti yao (Movement for Change | Home), sioni uhusiano wa moja kwa moja zaidi ya ku-copy jina la chama cha wazungu hao. Swali langu, je CHADEMA wameanzisha M4C yao wakiwa wanajua haya? Kama ndivyo, najua kuwa CHADEMA ina uhusiano fulani na chama cha Conservertive cha Uingereza, lakini M4C hiyo ya Waingereza ina mahusiano na chama cha Labour cha Uingereza! Hapa pana nini? Jina la jinsi hii si sawa na Athmani au Jane ambalo mtu unaweza kujiita pamoja na kujua kuwa wapo wengine wenye jina hilo. CHADEMA watufafanulie hili!
uamsho?? Nikisikia tu hili neno nataka kugoma.
Tupatie namba na sisi wanaccm tuwasiliane nae aturekebishie mambo.
Kwi kwi kwi teh teh teh
Kuna tofauti kati ya jina la kitu na vitu vinavyoitwa kwa luga ya wenzetu iliyo pana zaidi ya hii ya kikwetu....Ningekuandikia kigiriki kuwa specific zaidi lakini acha nitumie luga ya pili iliyo rasmi nchini kwetu; yaani Context na concept.
Kama wewe ulijiunga siku nyingi hapa kati ya 2007 and 2010 kuna ID ilikuwa inatoa mwelekeo wa mambo na how to go about; ama unaweza kutafuta kati ya nyuzi mbali mabli huu uzi unaoenda kwa jina hili....The concept of national consciousness and its link to peoples power! CHADEMA wamefanikiwa kuielewa hii concept na kwasababu behind it kuna power to effect change walipong'amua nakuji align wamefika hapo walipo.....It was given free and public CCM kama kawaida yao wakaona haiwa husu.....Bahati mbaya ile ID yangu ilikuwa banned forlife lakini neno la Mungu (katika imani yangu) lina sema hivi hata iweje neno lake haliwezi dondoka lika rudi tupu bila kuleta lile kusudia lilotumwa kulifanya!
Hata wote wakikata tamaa mimi nitasimama na nguvu ninayoiamini katika kuleta mabadiliko chanya bila kujali demokrasia ya wengi inasemaje kwasababu, sababu ninayo, nia ninayo na nguvu ya kufanya hivyo ipo ndani mwangu.....You are not forced to believe or to join kwani si kila chembe ina character ya solitons if it does not matter you; you have a free will to choose to believe and act the way you like!
Naona pumba nyingi lakini mchele haujauchambuwa! hiyo post hujaisoma wala hutaki kuelewa kuwa M4C ni renaissance, sijui kwa uelewa wako kama unaelewa ni dudu gani hilo.
Hata pumba ni chakula kwa mifugo japo mwanadamu hawezi kuzila jinsi zilivyo lakini anakula mifugo inayonenepeshwa na hizo hizo pumba! Kwahiyo mchele na pumba vyote ni vyakula! Usijali mfaidika wa kwanza wa M4C ni wewe ambaye bado hujajitambua! Subiri hizi pumba zinenepeshe mifugo ambayo itakuwa kitoweo kwako....Best wishes!
M4C ni mradi wa Lema aweze kuishi mjini.
M4C ni "renaissance", ina uhusiano moja kwa moja na kanisa na ukristo! Na ushahidi wa links niliuweka humu JF jana.
Wanaofaidika siyo wanaozikopa kujengea majumba "mchumba" na wanaokwenda na mashangingi zaidi ya moja (mengine escort) kwenye M4C?
Ingawa maswala yaliyomo katika post ile imeyapiga kibega chenga na kujifanya huyaoni, si kitu, najuwa si rahisi kuujibu ukweli wa maana halisi ya M46, si wewe tu, hakuna mwanachadema yeyote aliyethubutu kupinga au kujibu hayo, hata Makene anayaogopa kama ukoma.
Sikisii!
Kwa muda mrefu sasa CHADEMA imekuwa inahamasisha washabiki/wapenzi wake kujiunga na M4C, au Movement For Change (kwa kiingereza). Wakati mwingine wanaona kwamba jambo lao fulani limefanikiwa, basi ni kutokana na nguvu ya M4C, na kadhalika, na kadhalika......... Baada ya kuambiwa kuwa huko Uingereza (UK) kuna chama kinachoitwa Movement for Change ambacho pia kinatumia kifupisho cha M4C nikashawishika kuona kama kuna uhusiano wowote na CHADEMA.
Baada ya kusoma tovuti yao (Movement for Change | Home), sioni uhusiano wa moja kwa moja zaidi ya ku-copy jina la chama cha wazungu hao. Swali langu, je CHADEMA wameanzisha M4C yao wakiwa wanajua haya? Kama ndivyo, najua kuwa CHADEMA ina uhusiano fulani na chama cha Conservertive cha Uingereza, lakini M4C hiyo ya Waingereza ina mahusiano na chama cha Labour cha Uingereza! Hapa pana nini? Jina la jinsi hii si sawa na Athmani au Jane ambalo mtu unaweza kujiita pamoja na kujua kuwa wapo wengine wenye jina hilo. CHADEMA watufafanulie hili!
Inaelekea wewe mdini sana eeh! Ni vyema lakini kama hata hiyo dini haiwezi kukusaidia kuwa na nguvu ya kubadili jambo ya kazi gani basi? Siamini katika dini yoyote lakini imani yangu iko katika Mungu aliye hai ambaye anaweza geuza jana ikawa leo na wote tukawa wa jana hata kama tuliiona leo! Haihitaji nguvu kukulazimisha kuamini ninacho kwambia bali macho na ubongo wako utakusaidia kukwambia utakapo ona manifestation ya haya ninayokueleza (It does not matter wether you call them nguvu ya kanisa ama kitu gani swala ni kuwa M4C ipo na itachange hii status quo penda ama usipende) na kama unadhani ww una nguvu ya kuyazuia then go ahead! Maswali mengi ya nini?
By zomba
Wanaofaidika siyo wanaozikopa kujengea majumba "mchumba" na wanaokwenda na mashangingi zaidi ya moja (mengine escort) kwenye M4C?
Ingawa maswala yaliyomo katika post ile imeyapiga kibega chenga na kujifanya huyaoni, si kitu, najuwa si rahisi kuujibu ukweli wa maana halisi ya M46, si wewe tu, hakuna mwanachadema yeyote aliyethubutu kupinga au kujibu hayo, hata Makene anayaogopa kama ukoma.
Sikisii!
Mkikosa hoja mnaanza viroja! Katika bandiko hili ulilolijibu ni kipi kilichoashiria udini?
M4C ni "renaissance", ina uhusiano moja kwa moja na kanisa na ukristo! Na ushahidi wa links niliuweka humu JF jana.