hivi unajisikiaje ukiwa unacheki movie halafu.......

Ukichanganya na juisi haigandi sana ila mdomo hafungui ovyo ovyo, unakuwa mzito kama kabebesha kiroba kwenye lips. Teh teh

Mzee kongosho tunaichanganya vipi hiyo ili ikiwezekana nimpe high dose...?
 
Kuna zile CD zimeandikwa eti zimetafsiriwa Kiswahili, basi huyo alotafsiri sijui atokea Bara, kiswahili chenyewe champa shida, halafu Kiingereza hajui, kazi yake kupachika maneno, mie anikera kweli, mwenyewe sijui ajiita nani vileee..... nishasahau hata jina lake.
Lufufu. Nalog off
 
Mzee kongosho tunaichanganya vipi hiyo ili ikiwezekana nimpe high dose...?

Kama hujui vipimo basi acha usije tengeneza bomu, basi kodisha majambazi feki waje wawaingilie, wanakuja na cargo tape wanamziba mdomo na kumfunga mikono afu nyie wanawaacha. Akiwauliza why him alone kafungwa mmwambie majambazi ya huko kwenu hayapendi kelele.
 
Kuna zile CD zimeandikwa eti zimetafsiriwa Kiswahili, basi huyo alotafsiri sijui atokea Bara, kiswahili chenyewe champa shida, halafu Kiingereza hajui, kazi yake kupachika maneno, mie anikera kweli, mwenyewe sijui ajiita nani vileee..... nishasahau hata jina lake.

du muungano vp ndugu? Nasisi tunaandamana keshokutwa hatuwataki wazenji.
 
Kama hujui vipimo basi acha usije tengeneza bomu, basi kodisha majambazi feki waje wawaingilie, wanakuja na cargo tape wanamziba mdomo na kumfunga mikono afu nyie wanawaacha. Akiwauliza why him alone kafungwa mmwambie majambazi ya huko kwenu hayapendi kelele.

kongosho hii ni ya ukweli zaidi.....! dah ahahahahaha haa this way atanyamaza na itakua tabia yake milele hahahaaa... nacheka tu hapa ila kwa kweli jamaa hata kama ni wewe ungeshindwa kuvumilia yani
 
ujifanye umepanic.

sijakusoma vizuri... nijifanye nimepanic kuhusu tabia yake...? unajua kama mtu mzima ukiona sura ya mtu ambae hafurahii unachokifanya unaelewa ila inaonekana jamaa yani hana hii understanding kabisaaaaa
 
kongosho hii ni ya ukweli zaidi.....! dah ahahahahaha haa this way atanyamaza na itakua tabia yake milele hahahaaa... nacheka tu hapa ila kwa kweli jamaa hata kama ni wewe ungeshindwa kuvumilia yani

Nakuelewa fika, sipendi mno hiyo tabia
 
dah....hilo jamaa litakuwa linaboa sana....

sio kipole pole halafu linakua kama vile linataka kugain usuperstar wa fasta fasta kwamba linajua mamovie kumbe linaboa kinyama yani aaah
nifanye nini ambacho kitamfanya awe kimya..?
 
basi kama upo nae karibu muonyeshe hii thread....I hope hajui username yako.....
 
jamani niko na jamaaa mmoja hapa ni mgeni apa home ila inaonekana kaona movies nyingi kidogo
basi mkiangalia movie jamaa kama anaijua anaanza kuhadithia nini kitatokea... kwakweli mimi hili linaniboa sana
vipi wewe hua unafanyaje kama kitu kama hiki kikitokea manake jamaa ananiboa kinyama yani na ninashindwa kumwambia coz ni mgeni

naona wewe unatabia za umbea na unaa ya nyumbani unaleta jamvini ili iweje enhee..

kama umeboleka chana mtu live ya nini kuleta umbea jamvini..
 
Z mzenji weye?
Kuna zile CD zimeandikwa eti zimetafsiriwa Kiswahili, basi huyo alotafsiri sijui atokea Bara, kiswahili chenyewe champa shida, halafu Kiingereza hajui, kazi yake kupachika maneno, mie anikera kweli, mwenyewe sijui ajiita nani vileee..... nishasahau hata jina lake.
 
naona wewe unatabia za umbea na unaa ya nyumbani unaleta jamvini ili iweje enhee..

kama umeboleka chana mtu live ya nini kuleta umbea jamvini..

Hata kucha lazima ujue unachana wapi kwa kiwango gani. Sasa ndo mshauri amchane wapi kichwa au goti?
 
basi kama upo nae karibu muonyeshe hii thread....I hope hajui username yako.....

unajua Preta.... huyu jamaa ni mgeni na hakuna ambacho sijamuonyesha kwamba ile tabia mimi siipendi ila jamaa anazidi kupersist yani kama ingekua wewe ungefanyaje...? najiskia kumwambia live ila daah nawaza anaweza kusema kua jamaa alisema hivi kwasababu pale ni kwao yani hili linanipa hard time..... sijui kama unanipata na kunielewa kwa hali kama hii
 
naona wewe unatabia za umbea na unaa ya nyumbani unaleta jamvini ili iweje enhee..

kama umeboleka chana mtu live ya nini kuleta umbea jamvini..

kama ingekua wewe unge mchana live...? na lisingekua jambo kubwa sana kwako kumwambia mtu kama huyo....?
ila thanx too coz nimeuelewa ushauri wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom