hivi unajisikiaje ukiwa unacheki movie halafu.......

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
240
jamani niko na jamaaa mmoja hapa ni mgeni apa home ila inaonekana kaona movies nyingi kidogo
basi mkiangalia movie jamaa kama anaijua anaanza kuhadithia nini kitatokea... kwakweli mimi hili linaniboa sana
vipi wewe hua unafanyaje kama kitu kama hiki kikitokea manake jamaa ananiboa kinyama yani na ninashindwa kumwambia coz ni mgeni
 
mwambie akae kimya kidogo.
 
Usinikumbushe Mbeya, kwenye banda la video akija mbabe kutoka Nonde Machinjioni anawalazimisha wote mfumbe macho, halafu yeye awe anasimulia anachokiona kwenye video. Ole wako akubambe umefumbua macho

asee umenichekesha sana sasa akijikuta haelewi inamaana na nyie mmepotezwa.. ila kwa ubabe wake amejikuta anajipa kazi....
sasa huyu hapa anatumia ugeni bana yani anakera kweli .....
 
mwambie akae kimya kidogo.

itabidi niitumie hii... na hapa itabidi nijikaze kweli yani coz jamaa ana ile hali ya kulazimisha mambo ila i hope this will work...
 
Kuna zile CD zimeandikwa eti zimetafsiriwa Kiswahili, basi huyo alotafsiri sijui atokea Bara, kiswahili chenyewe champa shida, halafu Kiingereza hajui, kazi yake kupachika maneno, mie anikera kweli, mwenyewe sijui ajiita nani vileee..... nishasahau hata jina lake.
 
Usinikumbushe Mbeya, kwenye banda la video akija mbabe kutoka Nonde Machinjioni anawalazimisha wote mfumbe macho, halafu yeye awe anasimulia anachokiona kwenye video. Ole wako akubambe umefumbua macho

Ahahaaah!! Hayo maeneo hayafai.
 
Kuna zile CD zimeandikwa eti zimetafsiriwa Kiswahili, basi huyo alotafsiri sijui atokea Bara, kiswahili chenyewe champa shida, halafu Kiingereza hajui, kazi yake kupachika maneno, mie anikera kweli, mwenyewe sijui ajiita nani vileee..... nishasahau hata jina lake.

bora wale unajua unakua unaoption ya kununua hiyo cd au usiinunue ila huyu yani anahadithia wakati wote mnaangalia yani inaboa,,,... unajua kati ya vitu ambavyo vinafurahisha na vinahamasisha kwenye movie ni kwamba unakua hujui ni nini kitatokea lakini unapokaa na mtu anakwambia inaboa na inapoteza hata ladha ya kuangalia movie
 
jamani niko na jamaaa mmoja hapa ni mgeni apa home ila inaonekana kaona movies nyingi kidogo
basi mkiangalia movie jamaa kama anaijua anaanza kuhadithia nini kitatokea... kwakweli mimi hili linaniboa sana
vipi wewe hua unafanyaje kama kitu kama hiki kikitokea manake jamaa ananiboa kinyama yani na ninashindwa kumwambia coz ni mgeni

Mpe juisi ulochanganya na supa gluu
 
Mwambie akalale kama ameiona.

kumbuka jamaa ni mgeni kua rude namna hiyo kwa jamaa atajisikia vibaya lakini tabia anayoifanya mimi siipendi kwakweli... nimejitahidi hata kubadili kidogo sura ili ajue kua anachofanya sio ila jamaa haelewi yani aaaaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom