Hivi ukimdanganya mpenz wako unapata faida gan?

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
Ndugu zangu wanaJF ninaomba 2saidiane mana ninaona nadharia hii ya wa2 kuwa WAONGO kila kukicha kwny masuala ya uhusiano na hata ndoa sio vizur na inazid kuongezeka kila kukicha ninauliza hv sina maana kwamba cjawah kudanganya ila kunakiasi cha uwongo mana asilimia chache ya waliodanganya hawakugundulika ila weng waligundulika ninamaana ya kwamba unamdanganya mpenz wako nae anajua kuwa umemdanganya je utanyanyeje na utakuwa umepata faida gan?
 
Ni tabia tu ya kulinda ukweli halisi kwa wakati flani mpaka upate unachokitaka au kutimiza nia yako ya kudanganya baadae mambo yote yanakuwa shwari kama lengo lako umelitimiza vizuri.

Mtu udanganya kwa sababu tofauti kama kutojiamini na mwengine kudanganya ndio gia zake za kawaida tu ambazo utakuta mara nyingi zimemtimizia malengo yake kwenye mapenzi .Sio kila anae danganya ana nia mbaya.
 
Ndugu zangu wanaJF ninaomba 2saidiane mana ninaona nadharia hii ya wa2 kuwa WAONGO kila kukicha kwny masuala ya uhusiano na hata ndoa sio vizur na inazid kuongezeka kila kukicha ninauliza hv sina maana kwamba cjawah kudanganya ila kunakiasi cha uwongo mana asilimia chache ya waliodanganya hawakugundulika ila weng waligundulika ninamaana ya kwamba unamdanganya mpenz wako nae anajua kuwa umemdanganya je utanyanyeje na utakuwa umepata faida gan?

Kama hujawahi kudanganya endelea kuwa mkweli..Usipende uongo
 
Uongo wakati mwingine unakoleza mapenzi,unakuta mpenzi wako kaja kwa furaha na zawadi,kuifungua unakuta ni kazi ya zawadi usizozipenda na kiukweli hukufurahishwa nayo,ili usiweze kumuudhi itabidi umdanganye kuwa umeipenda ili kutopoteza furaha yake.
 
Sasa rafik mfano umeoa au umeolewa je utakuwa unaendelea kupretend hvyo unalidhika kumbe haurithk na mwenzio anajua unapenda hauon kama utakuwa unaumia wewe na ndo faida ya uongo kwako itakuwa chungu
 
Mapenzi ili yanoge lazima kuwe na uongo

sikatai ila ninawasiwasi na wewe hv unataka kuniambia utaendelea kuwa muongo juu ya mwenzio kwa kumdanganya? Na nimeshakwambia akijua ukwel utafanyeje?
 
Usiombe uambiwe ukweli wewe! utajiua!! Looo! Acha uwongo ufanye kazi yake ya kulea penzi pale patapowezekana
 
Faida unayopata inategemea ulidanganya ili iweje?kama ili upate uchi,ukipata hiyo ndo faida,etc etc
 
mkeo akikuambia ukweli mf katiwa jana utapenda? au mumuo kapiga tigo kwa house gl utafurahi uongo mtamu sana jamani! au demu mkali ukimwambia umeo anakupiga chini na mimi nataka mzigo kwa mtotolazima tusaidiane na uongo
 
Katika mapenzi kuna uongo wa aina mbili
Uongo unaojenga mapenzi (mfano: kumpa mpenzi sifa ambazo hana)
Uongo unaobomoa mapenzi (kusema huna demu mwingine wakati unae)
 
Back
Top Bottom