Hivi ukifanya mapenzi mfululizo unapata madhara gani kiafya?

Imeandikwa USIZINI ila nawaambieni yeyote amtazamae mwanamke na kumtamani amezini nae. Hayo ni maneno ya Yesu
Kijana mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako Mhubiri 12:1----
Je hayo ufanyayo yampendeza muumba wako? Ila kumbuka unawezq badilika murudie Muumba wako

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Maana imefikia hatua siwezi kumaliza siku bila kufanya mapenzi na si chini ya bao mbili au tatu. Nina ma gal friend si chini ya 14. Na wote ni wasichana wazuri chini ya miaka 23. Wawili wapo chuo IFM watatu UDSM (main compous 2 na mabibo 1) kampala university 2. CBE 2. chuo cha usafirishaji 1. Tambaza secondary 2 . Midland secondary 1. Wafanyakazi 2. Na hawa wote wapo free ni kiasi cha mimi kwenda kuchukua na kulala nao coz wa chuo wapo free hostel . Au wanifuate mimi. Hawa wa secondary pia wanakaa private hostel. Wanaofanyakazi pia wamepanga wako free. Nina line za simu na simu si chini ya tano kuogopa kuwagonganisha. Na sijawahi kuwagonganisha na wote ni waaminifu na wananiamini na tumepima HIV . tupo negative. Hivi sasa ni zaidi ya miaka 2. yaani nawala kavukavu. Sometimes nachoka sana na hata nikitoa bao nahisi halina nguvu kabisa . Swali ni je kuna madhala yeyote nitakayopata now au hapo baadae ya kufanya mapenzi mfulilizo???


Shikamoo bangi
 
Hakuna madhara tena hao kumi na nne hawatoshi endelea na mkakati wako wa kudumisha ujinga ukifika mwisho wa mwaka wawe 28!
 
eti mnaaminiana wakati wewe sio mwaminifu, sasa chakufanya nipe namba zao nichakuchapie mmoja
tu uwe uvunguni mwa lodge ujue kuwa mla huliwa kaka, badli tabia wacha kucheza namioyo ya wenzio
 
Hivi kweli wazazi wako watakuwa walishauriana kukuzaa au ni shinikizo kutoka kwa majirani wazazi wao? Maana nasita kuamini kama kweli binadamu anaweza weka publicly upumbavu kama huu! Jamani hiki ki nchi ukiconcern nacho unakufa na ugonjwa wa moyo!
 
Kabla hamjaanza kulaumu, angalieni pia mtoa mada kajiunga lini JF. Sio kosa lake. Labda anadhani huu ni uwanja wa kutangazia idadi ya wasichana alionao.

NAONA PIA SHETANI ANAZIDI KUKUBALIKI NA AKULAZE MAHALI PEMA MOTONI! AMINA
 
tanganyikajeki kaa ukijua starehe gharama; embu tuambie huo upuuzi wako unaugharamia kwa kipato halali au una sehemu unakofisadi?
 
Last edited by a moderator:
Jamani jf the great thinkerz . Mimi naona hamjamjibu bado yeye ni mtu mzima ana akili timamu na anajua anachokifanya. Na ndio maana ameuliza straight kuwa je kuna madhara gani au atapata madhara gani kiafya (apart from hiv ambayo amesema ameshapima) kwa kufanya mapenzi mfulilizo. Basi mumjibu mnaofahamu hayo madhara. Kama kufanya mapenzi na wanawake wengi sio ajabu mbona mswati anawaoa kabisa . Kuna wanaume humu wana wanawake kila kona . Na kuna wanawake humu pia wana wanaume kila sehemu . Lakini wote wakiwa humu wanajifanya watakatifu. Mpeni jibu yeye kawa muwazi
 
aache na hela ya kununulia sanda,jeneza,na maziko bila kusahau hela ya ugali maana hatutaki kwenda msibani kwake tukashunde njaa kwa kifo cha kujitakia!alafu unajisiiifu kutembea na wasomi
Ukipata ukimwi kumbuka kunywa dozi kila siku
 
We fanya tu hamna madhara yeyote!! kwanza unaongeza experience.
 
kwanza sinaimani unatakasifa tu huna lolote. pili kama sio marehemu mtarajiwa basi una laana ya ngono kama wazazi wako hai basi waombe radhi haraka kabla hawajafariki
 
Jamani jf the great thinkerz . Mimi naona hamjamjibu bado yeye ni mtu mzima ana akili timamu na anajua anachokifanya. Na ndio maana ameuliza straight kuwa je kuna madhara gani au atapata madhara gani kiafya (apart from hiv ambayo amesema ameshapima) kwa kufanya mapenzi mfulilizo. Basi mumjibu mnaofahamu hayo madhara. Kama kufanya mapenzi na wanawake wengi sio ajabu mbona mswati anawaoa kabisa . Kuna wanaume humu wana wanawake kila kona . Na kuna wanawake humu pia wana wanaume kila sehemu . Lakini wote wakiwa humu wanajifanya watakatifu. Mpeni jibu yeye kawa muwazi
wewe umetoa jibu gani na ushauri gani kwake nje ya kuzidi kumuongezea ujinga?
 
Naomba uni PM nina jamaa yangu karibu na home anatengeneza majeneza mazuri sana naomba uje uchague lako mapema,kidume cha kweli miaka ya sasa hivi na kujari familia yako kama umeoa,wazazi wako na kufanya kazi kwa bidii ili watoto wako waje kuwa na maisha bora baadae na sio ufirauni unaofanya
 
Loh kama wewe ni kijana jiandae kutomaliza hata bao moja pale utapokuja kuwa na mke na wewe mkeo atakuchukuliwa kama unavyowachukua wengine.
 
Back
Top Bottom