Hivi ukifanya mapenzi mfululizo unapata madhara gani kiafya?

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
Maana imefikia hatua siwezi kumaliza siku bila kufanya mapenzi na si chini ya bao mbili au tatu. Nina ma gal friend si chini ya 14. Na wote ni wasichana wazuri chini ya miaka 23. Wawili wapo chuo IFM watatu UDSM (main compous 2 na mabibo 1) kampala university 2. CBE 2. chuo cha usafirishaji 1. Tambaza secondary 2 . Midland secondary 1. Wafanyakazi 2. Na hawa wote wapo free ni kiasi cha mimi kwenda kuchukua na kulala nao coz wa chuo wapo free hostel . Au wanifuate mimi. Hawa wa secondary pia wanakaa private hostel. Wanaofanyakazi pia wamepanga wako free. Nina line za simu na simu si chini ya tano kuogopa kuwagonganisha. Na sijawahi kuwagonganisha na wote ni waaminifu na wananiamini na tumepima HIV . tupo negative. Hivi sasa ni zaidi ya miaka 2. yaani nawala kavukavu. Sometimes nachoka sana na hata nikitoa bao nahisi halina nguvu kabisa . Swali ni je kuna madhala yeyote nitakayopata now au hapo baadae ya kufanya mapenzi mfulilizo???
 
Binafsisijui kama kuna madhara kwa kufanya mapenzi mfululizo, isipokuwa kuna madhara kwenye huo mtandao wa ma gal friend kibao. Ushauri wangu, isaidie jamii kupambana na maambukizi ya Virusi, kwa kuacha mchezo huu.
Inasikitisha sana, una wanafunzi hata wa Secondary
 
Mada nyingine! Unaomba uambiwe madhara yatakayo kupata wewe, na
siyo madhara kwa hao ma girl friend. Unaonekana mbinafsi! Mada inaonekana
kama ya kutunga. Pia unajiamiiiiiini sana eti mmepima. Jiulize mpo wangapi
Kwenye hiyo network?. Lol kumbe elimu khs UKIMWI bado haijatosha!
 
Jiandae kuugua ule ugonjwa aliougua mobutu kuku wa zebanga wa zaire. Utaoza prostate!! Umeelewa sasa kijana?
 
Binafsi mimi sio daktari ila kwa ushauri wangu nenda kamuone mchungaji yeyote wa kiroho akufanyie maombi ya ukombozi.asante:A S embarassed:
 
Wewe ni JACKSON ......kuna msichana wa IFM ulizaa nae unamtesa matunzo ya mtoto huna huruma wala hujali matatizo unayowasababishia watoto wa watu acha hiyo tabia yule wa mabibo mambo yameharibika wale 2 wa IFM unajua wagonjwa bado unajisifu aagr....acha.
 
Na wao hawajawahi kukugonganisha na wanakusifu kwa uaminifu wako,hao wapenzi uliokuwa nao 14, zidisha mara 14 nao wanawapenzi wao 14, yaani ni mtandao, na mwisho wa siku maambukizi.
Na kwa kukusaidia haraka hata kama haujapata maambukizi, ni kuwa unafupisha umri wako wa kuishi.
 
Rekebisha hii stori angalau iwe na ukweli kwa 10% tu, maana hapa ni 0.005%!!!
 
Back
Top Bottom