Hivi ujanja wa sinza ni upi hasa

hehehehehehe kunafurahisha kuna kipub kimoja huwa nahudhuria sana nikipitia maeneo hayo kuna kiti moto kitamu sana pale

JJ, Lillys, Kwa Afande, Kwa Kapinga, Palestina, Sunguchini, au Pale karibu na Kwa Kakobe?
 
Wengi wa vijana wanapenda kukaa kule sababu kubwa ni starehe tena ya ngono toka kwa madada poa kwani sinza kila kona wamejaa,sasa hata wale midomozege hawapati tabu za kujichua tena kwani ni pochi lako tu,ndio mana mtu makini huwezi kuvutiwa kuishi maeneo ya Sinza:grouphug::grouphug::grouphug:
 
Uwa naamini watu wa Mipango Miji wangependekeza Sinza isiwe sehemu ya makazi ya watu!

Look

Kutoka Kwa Kakobe mpaka Mori kuna Guest House zaidi ya kumi!

Lapaloma, PR, Blue Bird, Bumbire, Land Mark, Rufita, Mori, Jolly, Opposite na Kwa Mae, !!!!!

Baa/Pub zaidi ya ishirini (kwenye same stretch):-
Kabla ya Kiti Moto, Kiti Moto, Baada ya Kiti Moto, Kabla ya Sungu Chini, Sungu Chini, Kwa Afande, Meeda, Meeda-B, Njia panda ya Bumbire, Frame * 3, Kwa Mae, Rufita, Mori, e.t.c!
 
ndugu,ina maana ww huoni kama ni ujanja,unakuta vijana na mabinti wanaonekana watanashati lakini mazingira walikotokea unajiuliza wamerukaje hayo maji taka hadi wakafika mjini?! (samahani kama nitakwaza mtu).

na umenikwaza kweli
 
he!! kumbe kugraduate ni elimu ya juu tu...pole yako maana ww ndo mvivu wa mwisho na unajistukia...apo wa la saba,form 4 akaenda ufund stadi,useremala,ushonaji,unesi whatever wote wanaingia kundi hilo..ata driver aliyeenda training ni graduate kwa maana ya mhitimu in kiswahili..huo ni mtazamo wako!

Tukiwa na vijana wenye upeo huu ni hasara kubwa kwa Taifa. hawa ndio wanawavalishaga majoho watoto wa nursery school kwamba wamegraduet.
 
sorry baby boy, truth gotta be spoken! afu na hiyo style ya kuweka taka kwenye mifuko zinaiva kama mboji! street nzima inanuka na mainzi ya kizungu! uwiii, bora kuishi kibamba kabisa ama gezaulole!

na umenikwaza kweli
 
sorry baby boy, truth gotta be spoken! afu na hiyo style ya kuweka taka kwenye mifuko zinaiva kama mboji! street nzima inanuka na mainzi ya kizungu! uwiii, bora kuishi kibamba kabisa ama gezaulole!

Nilikumis siku mbili hizi,ulikua wapi?Au mavitu ya mzee?
 
Nani huyo anapadis sinza?!!! ukitaka kujua ujanja w sinza tembea ucku saa8 ........ mi ntakua B.BAR nshtue nitakutembeza!!

pale B.bar unakesha ukiangalia mpira wa uefa labda.mbona hamna kitu pale.eti sinza kuna bar,9t club.sijaon bado.bar zenyewe chafu,nzi kibao,viti vya plastic tena vya promotion ya cocacola,kili,safari au pepsi.b.bar yenyewe moshi wa kitimoto bar nzima.9t club ipi?ambiance au?haina hat sehemu ya kuchezea.ukiingia kidogo tu unatokwa jasho.niache kdog
 
Tukiwa na vijana wenye upeo huu ni hasara kubwa kwa Taifa. hawa ndio wanawavalishaga majoho watoto wa nursery school kwamba wamegraduet.



ivi kugaraduate kwa kiswahili inaitwaje?
sheria ya majoho ni chuo tu?
 
ivi kugaraduate kwa kiswahili inaitwaje?
sheria ya majoho ni chuo tu?
Rudi juu kwenye hii thread ndio utajuwa mtoa mada alikuwa na maana gani. na hata wewe unajuwa kwa mazoea ya Tanzania tukisema huyu amegraduet huwa tunamaanisha nini, ambae yuko kinyume na ukweli huu basi aende pale mtaa wa Congo ndio kuna vijiwe vya kubishana.
 
kwa miaka yangu sita ya kukaa sinza sijawahi kusikia vibaka au mtu kakwapuliwa simu mchana au usiku watu tunarudi home mida ya saa tisa bila kuwa na wasiwasi na hela mfukoni
 
sorry baby boy, truth gotta be spoken! afu na hiyo style ya kuweka taka kwenye mifuko zinaiva kama mboji! street nzima inanuka na mainzi ya kizungu! uwiii, bora kuishi kibamba kabisa ama gezaulole!

sorry ya aina gani hii mbona unaendelea kunikwaza.
 
Sinza kuna sehemu pana Guest House kama tatu zimepangana hizo Guest House zinafuatiwa na nyumba moja ambayo mwenye nyumba imebidi aandike getini kuwa "Hii ni nyunba binafsi siyo Guest House"
 
Back
Top Bottom