Hivi udanganyifu wa mapenzi ni Tanzania pekee?

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
habarini wana JF,
nimekuwa nikipitia site hii na kuona majadiliano mbalimbali.
mambo mengine yanatisha hata unaogopa kuoa kwa watu wanavyozieleza ndoa. juzi nimesoma topic inasema "hivi kuna umuhimu wa ndoa" duh nilipagawa zile comments.
hivi ni hapa tz ndo tunadanganyana sana kuliko nchi nyingine?
mliozunguka na kuishi nchi nyingine mnalionaje suala hili? nako huko mambo ni hayahaya?
 
Me nathan wengi wanapata msukum0 wa ku-coment hapa kutokana na either kufikwa na hyo fedheha kwa namna m0ja ama nyingne lakin wale ambao hayajawafika hawana msukum0 wa ku0ngea hali zao (za aman na upendo) hvyo wapo kmya ndio maana there is too much of negatives of marriage in here ila sio kweli ukubwa wa tatizo ni mkubwa kias hchi.
 
Ededward1 inawezekana mkuu.
noted with thanks.
 
habarini wana JF,
nimekuwa nikipitia site hii na kuona majadiliano mbalimbali.
mambo mengine yanatisha hata unaogopa kuoa kwa watu wanavyozieleza ndoa. juzi nimesoma topic inasema "hivi kuna umuhimu wa ndoa" duh nilipagawa zile comments.
hivi ni hapa tz ndo tunadanganyana sana kuliko nchi nyingine?
mliozunguka na kuishi nchi nyingine mnalionaje suala hili? nako huko mambo ni hayahaya?

Labda hiyo iwe Tanzanite!
 
Niseme labda sio TZ peke yake ndio kuna wazushi wamapenzi inategemea na hulka ya mtu,lakini niamini sio TZ tuu ni kila taifa....
 
Nchi zinazoendelea karibia zote zina hili tatizo kwa sababu ni moja ya indicator ya umaskini UKIBISHA SHAURI YAKO.
 
hivi ni hapa tz ndo tunadanganyana sana kuliko nchi nyingine?

Ni kweeli kabisa kuwa Tanzania ndio nchi ya waongo zaidi kuliko nyingine qani sio nchi katika sayari yetu hii ya dunia, ipo nadhani katika sayari ya PLUTO.

Bazazi ni Bazazi!
 
sure, yaani hii tz kila mkoa kuna rasilimali adimu/madini lakini bado tu masikini wa kutupwa...whyyyyyy????? ngono tu yaani na tutapukutika sana
 
Back
Top Bottom