Elections 2010 Hivi uchaguzi wa nchi hii 2010 ni wa ccm pekee???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Samahan wapendwa kama ntawaudhi
kuna jambo linanitatiza kila nikiamka asbh ni kura za ccm
waziri wa ccm,diwan wa cc,katibukata wa ccm,mkuu wilaya wa ccm
kakamatwa na rushwa najiuliza hivi akuna vyama vingine ama ndio urasmi wa magazeti...najiuliza mara 2*2...embu tuwe pamoja tusiue democrasia jamani kuna wakina silaa wachunguzen nao...wafwatilien wakina mwanyika n wngine ingawa amtawapata at least mmekuwa na democrasia lakini hii ya kuamka kila abh ccm ccmccm ipo siku tutasema basi..imetosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom