Hivi TZ hatuwezi kuwa na wanasiasa vijana wa kuongea mambo kama haya (Paul Ryan)

JF-MBUNGE

JF-Expert Member
May 1, 2012
421
160
Nimejiuliza wenzetu wanaongelea nchi yao na issues....lakini wanasiasa wetu wamekazana kuojiongelea wao na wapambe wao..

Inamaana hakuna wanasiasa hasa vijana wenye kuweza kujenga hoja za msingi za kitaifaa?au tumelogwa na ulevi wa usisi na madaraka?

Source check Paul Ryan speeches
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom