Hivi Tunahitaji semina Kuacha Tabia Hizi?

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
[h=3]WANANCHI WACHANGAMKIA MAFUTA KATIKA AJALI YA LORI LA MAFUTA[/h]
Wananchi wakigombea mafuta eneo la ajali
Askari polisi wakiongozwa na mkuu wa kikosi cha upelelezi wilaya Tedy Timbuka (kulia) wakiwa wamefika eneo la tukio kuthibitia uharifu na kuwatawanya wananchi ambao walitaka kusababisha tukio baya zaidi eneo hilo
Gari la mafuta likiwa limeanguka japo hakuna aliyepoteza maisha katika tukio hili
wanawake na watoto pia wakisubiri kupata mafuta eneo la ajali jambo ambalo ni hatari sana
Wananchi wa Ihemi na Tanangozi wilaya ya Iringa vijijini jana wamefunga barabara ya Iringa -Mbeya kiasi cha jeshi la polisi kutumia jitihada kuwatimua baada ya lori la mafuta kuanguka na wananchi hao kugombea mafuta hayo yaliyokuwa
 
We unafanya mchezo na MWARABU nin??

Hao waliopo hapo wote siyo walala hoi.Hata hao polisi wenyewe wanayatamani kweli.
 
Back
Top Bottom