Hivi tukiamua 'tusifanye' mwaka mzima ni nani watakaoteseka sana WANAUME au WANAWAKE?

Utaona ule mtaa wa samora wanawake wanapita huku viuno vinajikata vyenyewe tu
 
Tango anafaa kwa kachumbari tu bwana sio kama madude yetu yale,huwezi kuyafananisha wakati mwingine hata na baadhi ya .......
khaaaa! ndio maana kuna kajirani kangu hapa hakaolewi mpaka leo halaf ikiingia jioni tu utakaskia kanapiga makelele peke yake kama mlango wa gereji. dah!
 
khaaaa! ndio maana kuna kajirani kangu hapa hakaolewi mpaka leo halaf ikiingia jioni tu utakaskia kanapiga makelele peke yake kama mlango wa gereji. dah!

usiyapimie wangu ukilijulia vizuri wanaume wote nyanya tena masalo
 
watakaoweza ni wale ambao hawajaingia kwenye gemu, but kama ulisha onja asali... we bwana weee... unajua tena mambo ya hisia. ni ngumu. kwa nini tujitese bwana? hamna substute ya ile gemu bwana. hata mara moja futbol wont be rugby.
 
Kwa nini Mapadri na Masista hawa-do- na wanaishi bila chekelea wala nunilia!
Njaa huja kwa kula, usipokula huoni njaa, sawa na ngono, nyege ni kunyegezana, usiponyegeshwa hunyegeki. I bet I can abstain the time I wish.
 
hapana mi nafkir swala hili ni gumu kidogo kutokana na haka kamchezo kuwa katamu wadada warefu watapata shda sana kwan huwa wana nyege za kutosha
 
kuna ugonjwa unaitwa chekelea unawapata mostly wasichana waliokwenye shule za bording single sex coz hawana acces na wanaume sa iktokea hivyo thnk wanawake wote watakua na chekelea yan ful kucheka mtaan mpka huruma
Mmmh na wewe hako kaugonjwa si kwakutokufanya sasa mtu atapataje ugonjwa wakati bado hajaanza kufanya?Mimi mwenyewe nimesoma boarding school hatujawahi kushikwa na huo uginjwa mnatuzishia jamani, katika hili wanaume ndio huwa hawawezi kulingana na nature ya maumbile
 
Back
Top Bottom