Hivi Tishio la Al Shabaab Limeisha au Ni Pale CHADEMA Inapotaka Kuandamana tu?

LordJustice1

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
2,263
530
Jana tumeona maandamano ya wanafunzi wa Kiislamu lakini hatujasikia taarifa za Kiintelinjensia zikidai kwamba kuna tishio la Al Shabaab. Hivi tishio hili limeisha au linajitokeza pale tu kunapotokea maandamano ya CHADEMA tu? Au tuseme "zimwi likujualo halikuli likakwisha?"
 
Back
Top Bottom