Hivi Tigo modem ni ya utapeli?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Hivi Tigo modernmni ya utapeli?Nimejaribu kushawishika kunua moderm ya Tigo kwa ajili ya NET. Lakn imekuwa very slow ukitaka kufungua net hata ukifungua google, yahoo na zile simple website.Kabla ya kununua walinishwishi vya kutosha. Nilipanga kwenda Voda, zain na ZantelLkn nilipigwa siasa kunua Tigo na wahudumu wake.Jee huu si utapeli kutuuzia bad poor performance service
 
...Kwanza, jaribu kubadilisha kichwa cha habari cha Uzi wako. Sio watu wengi wako interested kusoma habari za 'Nchi ya Togo'....!! :smile-big:
 
Hivi Tigo modernmni ya utapeli?Nimejaribu kushawishika kunua moderm ya Tigo kwa ajili ya NET. Lakn imekuwa very slow ukitaka kufungua net hata ukifungua google, yahoo na zile simple website.Kabla ya kununua walinishwishi vya kutosha. Nilipanga kwenda Voda, zain na ZantelLkn nilipigwa siasa kunua Tigo na wahudumu wake.Jee huu si utapeli kutuuzia bad poor performance service

Hata hizo nyingine si efficient kama unavyofikiri. Makampuni TZ customer service kwao ni kama privildge si haki ya mteja.
 
Back
Top Bottom