Hivi tatizo ni dowans au viongozi wetu?

MkimbizwaMbio

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
868
331
Nimepitia kwa makini document hii iliyotolewa na huyu jamaa anayejiita mmiliki wa DOWANS. Nimegundua kwamba tatizo si dowans tu, bali hata watendaji wetu wa serikali tuliowapa dhamana kubwa lakini wanazitumia vibaya.


hebu pitieni hiyo press release ya huyu jamaa, mtoe comments zenu.
 

Attachments

  • Mmiliki DWNs.pdf
    1.8 MB · Views: 106
Back
Top Bottom