Hivi Tanzania tunajivunia nin?


Kiuwa na viongozi wanaojua kwa dhati matatizo ya watu wake, lakini wanashindwa kuyatekeleza kwa makusudi kabisa na kujali maslahi yao binafsi.
 
Umaskini wetu wa kuchangiwa bajet mpaka kupewa sharti la kukubali haki za mashoga.
 
Najivunia Jf nimeweza kujua yanayotukwamisha safari ya kuondoa umaskini wa watanzania kiujumla, lakini nasikitika dk bado hajui?!
 
me najivunia kuwepo na fikra za amani,upendo na uhuru wa kina Saed Kubenea,Jenerali Ulimwengu,na wengine wenye midomo kulopoka wanayojisikia,na wenye vidole waliopo jf na kwingineko kuandika wanalotaka,
 
Back
Top Bottom