Hivi tanzania tuna wabungeee?

nakyoganzala

Member
Jul 15, 2012
6
0
Bunge la tanzania sasa lashangaza hata majanga mnaingiza siasa, je tutafika? Kuna haja ya kuwapima akili zao ili tubaki na wabunge wenye akili timamu tumechoshwa na vituko vyenu .je waungwana munalionaje hilo ? watu wamekufa kwenye ajali wao wanaanza marumbano mimi ninamashaka na akili zao wewe je?:eek2::eek2:
 
Ulipiga kura? Kama ulipiga, uliyempigia unadhani ana akili timamu au laa?. Kwa kifupi Tanzania hakuna bunge, bali kuna jengo ambalo mambo mengi yanayopelekwa humo yanakuwa yameshapatiwa majibu.
 
Wabunge wapo kwa idadi ya namba, lakini wawakilishi wa wananchi hakuna. Wengi hupiga kelele kwa manufaa yao zaidi, hakuna uwakilishi wa kutatua matatizo ya wananchi. Wanangojea majanga yatokee ndipo waanze kupiga kelele zisizo na mpango.
 
Mimi nna mashaka na Spika na wabunge wa CCM!alikufa Nyerere hata maduka hayakufunguliwa!huyu ni mtu mmoja tu na alifarikia LONDON!leo wanakufa ndugu zetu tena hapa hapa nchini na ni zaidi ya mia mbili then bunge linachukulia mzaa wa kutaka Hoja zao za kinafiki na zisizo na msingi waendelee kuzijadili!au mpaka afariki mwanasiasa mwandamizi wa CCM ndo bunge litasitishwa bila kulumbana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Bunge la tanzania sasa lashangaza hata majanga mnaingiza siasa, je tutafika? Kuna haja ya kuwapima akili zao ili tubaki na wabunge wenye akili timamu tumechoshwa na vituko vyenu .je waungwana munalionaje hilo ? watu wamekufa kwenye ajali wao wanaanza marumbano mimi ninamashaka na akili zao wewe je?:eek2::eek2:

Kama CDM ina wabunge vichwa maji, basi ujue CCM vichwa vyao vimejaaa &%$$####(neno baya) naogopa BAN......Mahututi mie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom