mwananchit
JF-Expert Member
- Oct 13, 2008
- 242
- 296
Nikiangalia madudu yanayofanywa na serikali ya JK miaka 50 baada ya kile kinachoitwa uhuru ndani ya nchi inayodaiwa kuwa ni kisiwa cha amani huku wananchi wake wakiogelea kwenye lindi la ufukara uliopindukia, nashindwa kujizuia kujiuliza kama kweli JK alikuwa ndiye chaguo sahihi la watanzania (au mtandao?) ukilinganisha na wanasiasa wengine waliojitokeza kugombea urais mwaka 2005kama vile SALIM, MWANDOSYA, SUMAYE, TINGATINGA nk . Hivi kweli tulipokuwa tunashangilia kumwondoa mkoloni kwenye ardhi ya Tanganyika tulikuwa tunajua kwamba siku moja tutakuja kumkabidhi nchi hii ****** kwa ahadi hewa za kuletewa maisha bora? HEBU NDUGU ZANGU WATANZANIA TUJADILI.