Hivi takukuru bado wako hai?

Why

  • 1

    Votes: 0 0.0%
  • 2

    Votes: 0 0.0%
  • 3

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    2
  • Poll closed .

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
Kuna mradi wa umeme pale Dodoma katika kitongoji cha Kikuyu Kinyambwa ambako wananchi wameahidiwa kupewa nguzo na Tanesco ili waanze kupata umeme wa mradi lakini mradi umekwama kwa kuwa wafanyakazi wa chini wa Tanesco Dodoma wanadai rushwa kwa wananchi wa kawaida. Hadi sasa wananchi wachache waliowekewa nguzo hizo ni wale waliotoa kidogodogo na wale ambao hawajatoa chochote nguzo zimeng'olewa.
Suala hili Mwenyekiti wa mtaa analijua, Diwani analijua, meneja wa Tanesco analijua na hata Injiani wa Tanecso Dodoma analijua, je Takukuru wapo hai? kwanini wanaacha wananchi wanyonge ambao hawana uwezo wa kutoa rushwa wanyanyaswe? au na wao wameshakatiwa chao?
 
Mmewapelekea taarifa na hawajachukua hatua yoyote?. Uwasaidie kwa kwenda kutoa taarifa kwa kupiga simu namba 113 au tuma barua.
 
mi nafikiri rushwa hapa tz ni kubwa mno mpaka takukuru wameelemewa hawajui waanzie wapi na waishie wapi
 
Back
Top Bottom