Hivi sister du akiolewa ataacha kutega?

The Boss no matter nivae vipi natega.....lol
basi hapo itabidi tubadilishe kalugha weye watega lakini hukusudii kwavile ni maumbile na kunawale basi wanaonyesha sehemu nyingine mapaka basi hata askofu akipita kama mtu aoni atakulachabo hao watakuwa wanajitegea wakitafuta….
 
hata ukivaa gunia lol?
Unajifagilia tu...i doubt it....lol

Tena gunia??? Hilo si ndo all eyes on me...nakwambia hata gunia... kikubwa nitupie assessories kama mkanda bag nzuri, high heels.... bla bla bla
 
basi hapo itabidi tubadilishe kalugha weye watega lakini hukusudii kwavile ni maumbile na kunawale basi wanaonyesha sehemu nyingine mapaka basi hata askofu akipita kama mtu aoni atakulachabo hao watakuwa wanajitegea wakitafuta….

Kwa mtindo huo.... sawa...
 
tena gunia??? Hilo si ndo all eyes on me...nakwambia hata gunia... Kikubwa nitupie assessories kama mkanda bag nzuri, high heels.... Bla bla bla

mhh wy is it i dont believe it????
Prove it to me....
 
inawezekana akabadilika kulingana na type ya mwanaume aliyemuoa,kama ni type yake hataweza kubadilika lakina ni mstaarabu basi itabidi aendane naye

Mike1234 hiyo kweli kabisa
 
kuna wengine hata havae vipi yeye bado anatega cause ndo alivyo - hivyo akiolewa bado tu atatega!

Asha D,sasa tutafanyaje,mana kuna wamama unaona kabisa wanavaa nguo za heshima but still unaona maungo yalivyojigawa
 
:doh::doh::doh::doh::doh:

Haahhahah....partner nakuona!!

Kwa mtoa mada inategemea huyo mtu anavaa. anavyovaa kwaajili ya nini!Kama ni kufurahisha nafsi yake kuna uwezekano akaendelea ama akaacha kama mumewe hapendi na yeye ni muelewa...kama ni kumtega mtu aingie ndoani anaweza akaacha ndo maana kuna wanaume hua wanalalamika baada ya ndoa tu wale zao hata kujiremba wanaona kazi!!
 
Lizzy ni ngumu sana kujua wanawake wanavaa kwa ajili gani,ni kama siri ya mtu,kuna wanaume wanapenda wanawake wenye hips kubwa,au mapaja hasa kuona nyuma ya goti,wengine boobs,na mengine,so wanawake wao unakuta wanavaa kivyao tu but wengine wanavaa kwa nia ya kutega,so hata yule ambaye hajavaa kwa nia ya kutega unakuta anatongozwa na baadaye naingia same line
 
ulimuoa sababu ulitegeka, basi usishangae hata baada ya kumuoa bado wengine watategeka tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom