Hivi sisi wanaume ndiyo tabia zetu??

Duh! Kiswanglishi chako kigumuuuu!!
Ingawa mimi sikubaliani na mtoa hoja! Kama anajilaumu ni yeye, mimi sijawahi kujilaumu.....pengine nalenga KUNAKO!
pole ntakupa tution hofu toa tutaenda sawa tu mjomba....nini ngumu apo?nikudadafulie?
km haukubaliana nae poa bas wewe mkaka mzuri
na usiwe unafanya ivo
 
Mimi kuna mwanamke aliyekuwa ananitaka baada ya kumzungusha sana kama miezi sita hivi nilipomkubalia akataka tuka-du siku hiyo hiyo dah nilikula kona
 
Kwanini sisi wanaume tuhangaikiapo Demu kwa muda mrefu na kumpata na ukisha m-du unabaki ukijilahumu kwanini ulikuwa unahangahika hivi??hupati jibu?hata radha husahaulika!!nakuona kile kitu kama kitu chakawaida na value yake kuhisha!!Ila yule hambaye hajakukaangisha mahindi huendelea kumpenda!!kwa nini??

Akina dada mlielewe hili ili msiwe mnapata tabu, ni kama unavyokunywa bia tu, bia ikishaisha basi chupa haina thamani tena unaitupilia mbali na unachukua bia nyingine!
 
finest na ka kiiza fanyen mpango mrud kwa mungu
NI NYINYI TU wanaume m sor baadhi ya wanaume amjatulia ata umpe afta 3minutes ya kukuomba mtamwagana au umpe afta 3yrs afta kukuomba mtamwagana pia
DURABILITY INATEGEMEANA NA MUTUAL STANDING YENU BAINA YENU+CHEMISTRY BTN U 2+INTEREST=INADERTEMINE UWEPO WENU
km ukikuta yaliyomo yamo basi ahh utatulia na msiwe bias ata kwa mademu pia ukionja ukikutafyafyafyaaaaaaaaaaaa babu doooooooro akhu lazima usepe kwa IYO SI NYINYI TU WANAUME NDO MNAOPANGA UYU NIWE NAE KWA MUDA GAN......... ni maridhiano baina zote mbili........nwai maombi mie byeeeeeeeeee
tena 2b precs ni kwamba mademu ndo wanaopanaga uyu nimwekeje ......ao wanaolilia ni wale wafanyabiashara km alikuunda kimmkukuta zaidi basi poa atakulilia afta we kukatisha tenda bt yule wa ukweli ahhhhh aaaaaaaahh atachek mara 4 4 uyu niendelee nae au niomsepeshe......DEMU NDO ANAPANGA SI MAN(naongelea mademu wa ukweli si wafanyabiashara ambao mnawapangia nyinyi uyu afta kunizungusha nikae nae au nimsepeshe afta kupata ulichotaka.........)
bt msifanye ivo si vyema ata km alikuzungusha we kuwa nae tu syo afta kupata mzigo wa wasepa.......

ndo maana ninaona uzuri wa kuwa na plan B, endapo plan A imefeli!kama mbunye unakuta ni fyata.......fyata.....fyata...... basi nenda banda la uani na utue mzigo!na ndio inakuwa mwisho wa safari!
 
ndo maana ninaona uzuri wa kuwa na plan B, endapo plan A imefeli!kama mbunye unakuta ni fyata.......fyata.....fyata...... basi nenda banda la uani na utue mzigo!na ndio inakuwa mwisho wa safari!

Mpwa msamiati huu ni mpya kwangu hebu nidadavulie kidogo nielewe:confused2::confused2::confused2:
 
Kumbe ndo mko hivyo?

Ulikuwa hujui? Habari ndio hiyo tamaa tu zimewajaa kila wanachoona wanatamani na wakishapata hawaoni jipya. So wanawake tunabidi tuwe makini sio kila ukitongozwa unakubali
 
Kuna factors zinazosababisha hiyo kutokea:
1.Lubrication rate
2.Fluid content
3.Penetration rate
4.Stinking rate
5.Romancing time
6.Emotional reactions
 
Ulikuwa hujui? Habari ndio hiyo tamaa tu zimewajaa kila wanachoona wanatamani na wakishapata hawaoni jipya. So wanawake tunabidi tuwe makini sio kila ukitongozwa unakubali

Ni PM nikupe mbinu
 
Ulikuwa hujui? Habari ndio hiyo tamaa tu zimewajaa kila wanachoona wanatamani na wakishapata hawaoni jipya. So wanawake tunabidi tuwe makini sio kila ukitongozwa unakubali

yes,wengine unawapa na wengine unawanyima!
 
Nimemkumbuka MWANA FA kwenye moja ya mashairi ya wimbo wake alisema WANAWAKE NI URITHI WETU TUMEPEWA KUTOKA KWA MUNGU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom