hivi sasa ni saa kumi namoja kamili

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
najua mnaipenda kazi yenu jamani embu jalini na familia zenu ,,overtime tamu lakini
kuitwa mjomba na watoto zako sio raha kila siku ukija wanakuita mjomba uncle wewe jamani
embu haya mambo tuwahi majumban tukakae nafamilia wapendwa mmmh
angalizo usiwahi kwenye moto najua si kila sehemu ni njiapanda

pls tuwah na vile vifolen vya bongo jamani
 
zaidi kuwahi mdahabahu jamani sio kila siku wewe starehe usiku usiku una nini wewe??mchana unaogopa nini kwa mwanandoa mwenzio
unaitaj Topaz??sema ukusaidie embu wahi mkaeelekezane ondoa shari
kila la kheri
 
Noted sir, but majukumu bado yamebana. Watoto wanahitaji kwenda shule na kula pia. Siyo kwenda shule tu, bali shule nzuri. Hata kula wanahitaji chakula chenye hadhi na si mradi kushiba!
 
aaaahaaaa kijana waogopa folen haya tumerudi tuchat mpwa
 
najua mnaipenda kazi yenu jamani embu jalini na familia zenu ,,overtime tamu lakini
kuitwa mjomba na watoto zako sio raha kila siku ukija wanakuita mjomba uncle wewe jamani
embu haya mambo tuwahi majumban tukakae nafamilia wapendwa mmmh
angalizo usiwahi kwenye moto najua si kila sehemu ni njiapanda

pls tuwah na vile vifolen vya bongo jamani
nivizuri kuwahi nyumbani kukaa na familia lakini kuna familia nyingine bwana..mke ni kama kinanda..ukifika tu kinaanza. sasa bura lipi kukaa baa mpka usiku wa manane ukifika amelala na wewe kitandani. asubuhi majogoo
 
Noted sir, but majukumu bado yamebana. Watoto wanahitaji kwenda shule na kula pia. Siyo kwenda shule tu, bali shule nzuri. Hata kula wanahitaji chakula chenye hadhi na si mradi kushiba!
mke nae ataka raizoni na mawigi. kamshahara ndo hako..overtime muhimu. wakikua wataacha kukuita mjomba
 
Back
Top Bottom