Hivi salaam za mwaka mpya za Kikwete zililenga nini?

Makindi N

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
1,066
173
Petrol/Diesel bei juu, umeme (18%) increase - bili ilivyopanda kana kwamba unakiwanda cha kufufua umeme hapo kwako, kodi nyumba juu (nimepandishiwa), mchele kilo kana kwamba unanunua jaruba, school fees nazo kana kwamba unanunua shule, soda nazo mia mia zimeongezeka. Yaani kifupi kwa njia moja au nyingine vitu vimepanda sana kuanzia mwishoni mwa mwaka jana baada ya uchaguzi. This 2011 is a heavy one fellas! Zile Salaam za Mwaka mpya za JAKAYA KIKWETE (PhD-less) zililenga nini?
 
Back
Top Bottom