Hivi sababu hasa ni nini?

dropingcoco

Senior Member
Jun 21, 2008
124
11
Kumekuwa na wimbi kubwa la ushoga hapa nchini kwa sasa.Ni aibu na fedheha kwa jamii yetu ya kitanzania kuiga tabia hii ambayo ni kinyume kabisa na maadili yetu.inashangaza sana pale unapokutana na mtu mwenye nafasi yake nzuri katika jamii lakini ni shoga. Wapo watu wengi hapa mjini wenye pesa zao lakini wanafanya shughuli hizo,nimesikitika kusikia kuwa tabia hizi huanzia utotoni, je watoto wetu wa kiume tunaowapeleka boarding schools wako katika usalama? Ni hatua gani ichukuliwe kukomesha tabia hii?....mawazo yenu tafadhali
 
sababu kubwa nionavyo ni
  • ukosefu wa maadili,
  • tamaa za mali kama wanawake
  • maumbile tu
  • kuzaliwa hanidhi
  • mazingira
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom