Hivi rushwa kwenye elimu ya juu itaisha lini?

mashplayer

Member
Oct 25, 2011
15
21
Mimi ni mmoja ya waathirika wa rushwa vyuoni,hili ni tatizo ambalo viongozi wengi wa vyuo wamekuwa wakilifumbia macho kila kukicha.
natoa mifano iliyo hai:
katika chuo cha IFM kuna baadhi ya waalimu wamekuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi wa kike kwa lengo la kuwafaulisha kwenye masomo yao.mjina yao ninayo na hata uongozi wa juu wa chuo unafahamu hilo suala!
Pia uvujaji wa mitihani umekithiri sana mpaka kufikia hatua hata yule bogas wa mwisho anafaulu mitihani pasipo watu kutegemea.na kuwaacha hoi kimaksi wale wanaokesha usiku kucha wakikamua na wala wasione mafanikio yake.

Na pia inafikia hatua hata bogasi huyo akipata sapu asiifanye na kupitishwa tu kuingia mwaka mwingine bila kuliizwa na mtu kutokana na kwamba yeye either babake ni influential person au mpenzi wake ni mkubwa hapo chuo!

HIZI NI FACTS ZA UHAKIKA NA KWELI NA SIO UZUSHI!
 
Inaonyesha kweli umeathirika, hadi ukachanganya majukwaa.
 
Sawa mkubwa,hisia zako zinalenga kuondoa ubabaishaji katika elimu ya juu lakini hiyo thread yako sio maala pake.
 
Huyu jamaa analalamikia nini sasa? Kama na yeye anataka kubebwa kama hao mabinti si awatafute wahadhiri wa kike(female lectures) na wewe uwaonge rushwa ya ngono nao wakuweke juu,From my experience if you are admitted or selected to a higher education institution or any organization you are required to play your part only and nothing else.
 
Chuo,mtu alijiunga yeye mwenyewe. Sasa suala la mwingine kufaulu kwa uhalali au kwa udanganyifu hilo halikuhusu. Kinachotakiwa ni wewe kama wewe kusoma na sio kuangalia wengine wanafanya nini.
KUMBUKA RUSHWA ITAISHA PALE UTAKAPOKATAA KUIPOKEA NA KUITOA.
 
mmmh! Hilo nalo neno.
 
Mkuu hapo kwenye mstari nina mashaka kidooogo.. maana kuna kamsemo kanakosema ''kusoma kuelewa kukesha mbwembwe''. kwa hiyo sio kila anayekesha kwa kusoma anaelewa na hivyo kufaulu.

Mimi ni mmoja ya waathirika wa rushwa vyuoni,hili ni tatizo ambalo viongozi wengi wa vyuo wamekuwa wakilifumbia macho kila kukicha.
natoa mifano iliyo hai:
katika chuo cha IFM kuna baadhi ya waalimu wamekuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi wa kike kwa lengo la kuwafaulisha kwenye masomo yao.mjina yao ninayo na hata uongozi wa juu wa chuo unafahamu hilo suala!
Pia uvujaji wa mitihani umekithiri sana mpaka kufikia hatua hata yule bogas wa mwisho anafaulu mitihani pasipo watu kutegemea.na kuwaacha hoi kimaksi wale wanaokesha usiku kucha wakikamua na wala wasione mafanikio yake.

Na pia inafikia hatua hata bogasi huyo akipata sapu asiifanye na kupitishwa tu kuingia mwaka mwingine bila kuliizwa na mtu kutokana na kwamba yeye either babake ni influential person au mpenzi wake ni mkubwa hapo chuo!

HIZI NI FACTS ZA UHAKIKA NA KWELI NA SIO UZUSHI!
 
Sawa mkubwa,hisia zako zinalenga kuondoa ubabaishaji katika elimu ya juu lakini hiyo thread yako sio maala pake.

Jamani labda me ni mgeni, hapa si zinajengwa hoja mchanganyiko bila kujali imetokea wapi?
 
Huyu jamaa analalamikia nini sasa? Kama na yeye anataka kubebwa kama hao mabinti si awatafute wahadhiri wa kike(female lectures) na wewe uwaonge rushwa ya ngono nao wakuweke juu,From my experience if you are admitted or selected to a higher education institution or any organization you are required to play your part only and nothing else.

Watanzania wa aina yako ni wengi sana, and that's why we will never find a way through to our problems. Mtoa hoja hakufanya kosa hata kidogo kueleza kilichomkumba yeye, na kimsingi tatizo hilo linakuwa kubwa kadri siku zinavyokwenda..sasa leo hii anaeleza tatizo ili wana JF tuwe sehemu ya suluhisho wewe unatoa majibu rahisi sana kwa maswali amabayo yanahitaji kutumia ubongo wako wa mbele kikamilifu....Kama umechoka kiakili shut up your bowl-like mouth kuliko kubwatuka. I wonder why you are part of JF, where people are seemingly supposed to be great thinkers and you are not.
 
Unaposema kuwa 'hizi ni fact na sio uzushi' una maanisha nn! hii ni kwa sababu umeficha ukweli ambao ungesaidia wadau kuchangia na hata kufikisha suala hili panapohusika. Binafsi sipingi dhahania yako ya kuwepo kwa mahusiano nje ya taaluma baina ya walimu na wanafunzi lakini nashindwa kuchangia hoja yako kama hujaweka ushahidi (labda kama 'majina tunayo na wanawajua' nao ni ushahidi)
 
Watanzania wa aina yako ni wengi sana, and that's why we will never find a way through to our problems. Mtoa hoja hakufanya kosa hata kidogo kueleza kilichomkumba yeye, na kimsingi tatizo hilo linakuwa kubwa kadri siku zinavyokwenda..sasa leo hii anaeleza tatizo ili wana JF tuwe sehemu ya suluhisho wewe unatoa majibu rahisi sana kwa maswali amabayo yanahitaji kutumia ubongo wako wa mbele kikamilifu....Kama umechoka kiakili shut up your bowl-like mouth kuliko kubwatuka. I wonder why you are part of JF, where people are seemingly supposed to be great thinkers and you are not.

uko sawa kabisa.
 
Mtu atafikaje chuo na ukamuita bogus?
Huhitaji kukesha ili ufaulu bwanamdogo.
OTIS.
 
Rushwa ya ngono ni janga la kitaifa kuanzia elimu ya chini mpaka elimu ya juu hasa kwa akina eva.
 
Back
Top Bottom