Hivi Rais wetu amemkosea nini Mungu? Kila kukicha lawama tuuu...hamchoki?!!!

Dec 4, 2011
54
6
Tafakari, chukua hatua. Lawama zenu kwa kiongozi mkuu wa nchi haziwafikishi popote. Nawashauri mtubu kwa Mungu wenu, muombe kwa ajili ya nchi yetu na kufanya shughuli za maendeleo kwa bidii.

Too much blaming towards the president is nonsence, we are here because we are here and not because the president brought us here. By the way, he found us here and if we don't change, he will leave us where he found us, 'here'!!
 
Ha ha ha!He deserves kulaumiwa kwani alitoa ahadi nyingi HEWA!!
Yale maisha bora kwa kila Mtanzania yalienda wapi?
 
Zile computer na internet KILA primary school ziko wapi?
 
Ha ha ha!He deserves kulaumiwa kwani alitoa ahadi nyingi HEWA!!
Yale maisha bora kwa kila Mtanzania yalienda wapi?

Maisha bora hayatakuja kwa kukaa na kulaumu kila siku. Jakaya Kikwete hawezi kuleta maisha bora sebuleni kwenu bila ya nyie kujituma na kufanya kazi kwa bidii. Yeye kama kiongozi mkuu wa nchi ameweza kutuhamasisha ili tufanye kazi. Maisha bora hayatakuja kwa kufanya maandamano kila siku. Vijana wengi wanalalamika kwamba hawana kazi ama wanataka kazi za ofisini. Kuna kazi nyingi sana mashambani, tuna ardhi ya kutosha kabisa kufanya kilimo na serikali imetangaza suala la kilimo kwanza kwa maana kwamba serikali iko tayari kuwawezesha vijana katika suala hilo.

Tuache kumlaumu Jakaya Kikwete kwa kila jambo, ni hekima tukubali kuacha tabia ya uvivu na majungu.
 
Tafakari, chukua hatua. Lawama zenu kwa kiongozi mkuu wa nchi haziwafikishi popote. Nawashauri mtubu kwa Mungu wenu, muombe kwa ajili ya nchi yetu na kufanya shughuli za maendeleo kwa bidii.

Too much blaming towards the president is nonsence, we are here because we are here and not because the president brought us here. By the way, he found us here and if we don't change, he will leave us where he found us, 'here'!!

Nakushauri utubu wewe kwanza unaejaribu kupindisha ukweli. Hivi wewe unataka kusema huoni mambo yanavyoenda ndivyo sivyo?
 
JK analaumiwa hata na wazungu wa Marekani na Uingereza, wanamuona kama ameshindwa sana hasa ukizingatia raslimali zilizopo Tanzania.
Majuzi akiwa Davos walimshauri akajifunze kwa Kagame, Rwanda !
 
Hivi kabla ya Kikwete kulikuwa kuna shule ngapi za Sekondari?
 
Wananchi wanaombwagia mungu kila kitu hawatatoka katika umasikini, maradhi na ujinga.

Na kila siku watauliza "Rais wetu kamkosea nini mungu" bila kujua power structure ndiyo iliyomtengeneza mungu ili watu wasiangalie matatizo ya maisha yao ya kila siku, na kuishia kumuomba mungu asiyekuwepo. Hili limekuwa hivi tangu enzi za Wababeli, falme za kale za kichina, mpaka leo kwa Bush na Obama. Ndiyo maana hata walevi mbwa wa Whisky kama kina Mkapa wakitaka urais utawaona St. Immaculate front row, wakiacha urais huwaoni ng'o.

Mungu ni smokescreen ya kuwapatia wanadamu wanachotaka.

Kama humtaki Kikwete na utawala wake jipange kuung'oa mwenyewe na wenzako. Habari za mungu utakufa na kuziacha hivyo hivyo.
 
Hata Kikwete mwenyewe anajilaumu kwa kuwa ajali ya kisiasa kwa taifa letu. Maana ya uongozi ndiyo hiyo. Kama anapwaya au kufanya madudu asiambiwe? Nyinyi mnaomtetea ni wale wale mafisadi wanaofaidika na madudu yake. Kwa vile hapa hatuonani, mwaweza kuwa wale wezi na majambazi wanaoitwa usalama wa taifa. Mshindwe na kulegea.
 
Leo tumekusamehe,siku nyingine kataa watu kuutumia mdomo wako kinyume cha maumbile yako,
 
Topic nyingine ni lazima utumie muda mwingi kujiuliza maswali mengi:
> mwanzishaji ameranduka au?
> mtz ? Kama yes, je ana abnormality gani ?
... Na maswali mengine kibao. Vinginevyo nawe ukikurupuka hukawii kupigwa ban.
Pamb.fuu !
 
Mwambie aache uraisi kama hataki maswali. Yeye alidhani anachaguliwa uraisi akazurure nchi za nje???
 
Tafakari, chukua hatua. Lawama zenu kwa kiongozi mkuu wa nchi haziwafikishi popote. Nawashauri mtubu kwa Mungu wenu, muombe kwa ajili ya nchi yetu na kufanya shughuli za maendeleo kwa bidii.

Too much blaming towards the president is nonsence, we are here because we are here and not because the president brought us here. By the way, he found us here and if we don't change, he will leave us where he found us, 'here'!!

Harafu hatujiulizi hata siku moja kwamba lawama hizo zinatuletea faida gani kama si kupoteza muda tu? Tunahitaji kushauri zaidi kuliko kutowa lawama kila kukicha.
 
Topic nyingine ni lazima utumie muda mwingi kujiuliza maswali mengi:
> mwanzishaji ameranduka au?
> mtz ? Kama yes, je ana abnormality gani ?
... Na maswali mengine kibao. Vinginevyo nawe ukikurupuka hukawii kupigwa ban.
Pamb.fuu !

Tunatofautiana katika mitizamo kwa hiyo unavyomshangaa wewe ndivyo naye anavyokushangaa....usimlazimishe kuamini unachoamini wewe bana!
 
Tatizo huyooo rais kaingia madarakani sio kwa chaguo la wananchi walio wengi, kwasababu hiyo hakuna zuri atakaloweza fanya,yaani Mungu anamlipa ili kuitengeneza njia ya yule atakayekuwa chaguo la wananchi 2015,sisi hatumjui ila Mungu anamjua.

Kwa hiyo blaming hazitaisha, watu wana blame pale wanapoona si sawa, mwananchi wa chini hatendewi haki.mfano mgogoro wa madaktari rais alichelewa fanya maamuzi mapema na kusababisha vifo.Rais kama ni dereva basi analipeleka basi(nchi) kwenye korongo la mto kitonga tunaenda anguka wote.

Tumuombe Mungu awe dereva mwenyewe hadi hapo 2015,vinginevyo mwaka huu amani inaweza potea.Amani itadumu pale tu patapokuwa na utawala wa bora wa kupambana kikamilifu na rushwa(mafisadi wa hukumiwe na warudishe mali zote),serikali lazima kuwajibika ipasavyo kwa wananchi na rasimali za nchi lazima ziwanufaishe wananchi.

mimi sina ugomvi na rais ni pale atapofanya mazuri pasipo kuacha kwa manufaa ya taifa na kumtoa mwanachi wa chini kutoka kwenye ugumu wa maisha na umaskini uliopo sasa.Kama si hivyo nitamuomba Mungu asikwie kufanya replacement ya kiongozi mwingine maana 2015 ni mbali sana,tumechoka kuteseka.

message delivered!
 
Back
Top Bottom