Hivi rais Kikwete ni mtanzania kweli?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Samahani familia nimewiwa kumuuliza hiliswali kwa nia njema na pengine anaweza kutoa msaada kupitia wasaidizi wake
tangu aingi amekuwa akisafiri na kusafiri na katika bajeti iliopita watu walilalmika sana fedha zilizotumika
majuzi alikuwa south africa ,amerudi ameenda sudan ,kama si jana naona picha yake akiwa sychelles na mmoja wa wakeze
nimejiuliza jamani hivihyuu ni mtanzania na kama kweli huko nje mbona awamchoki

iweje raisi ratiba zako zote weewe ni kuznguka tu moshi arusha moro unasikika mei mosi jamani
embu tusaidie kwa hili mh rais??
 
Atealst a agefuta cheo cha waziri wa mambo ya nje yeye akwa Amiri Jeshi Mkuu, Rais na waziri wa mambo ya nje ya Tanzania. Itashangaza kuona Rais ana safari za nje ya nchi kuzidi waizri wa mambo ya nje.
 
Samahani familia nimewiwa kumuuliza hiliswali kwa nia njema na pengine anaweza kutoa msaada kupitia wasaidizi wake
tangu aingi amekuwa akisafiri na kusafiri na katika bajeti iliopita watu walilalmika sana fedha zilizotumika
majuzi alikuwa south africa ,amerudi ameenda sudan ,kama si jana naona picha yake akiwa sychelles na mmoja wa wakeze
nimejiuliza jamani hivihyuu ni mtanzania na kama kweli huko nje mbona awamchoki

iweje raisi ratiba zako zote weewe ni kuznguka tu moshi arusha moro unasikika mei mosi jamani
embu tusaidie kwa hili mh rais??

Rais kikwete au kiwete???
 
Jamaa anazurura zurura wakati wananchi wake wanalia dhiki!..mswahili mswahili ata umpe nini abadiliki.
 
Samahani familia nimewiwa kumuuliza hiliswali kwa nia njema na pengine anaweza kutoa msaada kupitia wasaidizi wake
tangu aingi amekuwa akisafiri na kusafiri na katika bajeti iliopita watu walilalmika sana fedha zilizotumika
majuzi alikuwa south africa ,amerudi ameenda sudan ,kama si jana naona picha yake akiwa sychelles na mmoja wa wakeze
nimejiuliza jamani hivihyuu ni mtanzania na kama kweli huko nje mbona awamchoki

iweje raisi ratiba zako zote weewe ni kuznguka tu moshi arusha moro unasikika mei mosi jamani
embu tusaidie kwa hili mh rais??

Ni mtanzania pure, nasikia kuwa baba yake ni ****** na pia nasikia kuwa mama yake ana asili ya umanyemani kigoma. sijui zaidi ya hapo
 
acha raisi kijana ale bata....sijui lini atakuja huku? Inabidi niangalie ratiba yake!

jk must resign...
 
Huyo anafanana na akina Vasco Da Gama na Christopher Columbus! yeye ni Voyage kwa kwenda mbele hahahahahaahahaa Hivi hajui tuna matatizo ya umeme, Njaa yeyeni kuzurura tuuuuuuuuuuuuu
 
kumbukeni huu ni muhula wake wa mwisho. asipoimaliza dunia kwa mara nyingine tena atapata lini fursa hii? hata kama waziri wa fedha anatuhadaa eti wamepunguza safari za nje...ni uongo tu.......tumpige chini huyu.....kiongozi haangalii watu wake...kila siku kwa jirani!!!!!
 
Samahani familia nimewiwa kumuuliza hiliswali kwa nia njema na pengine anaweza kutoa msaada kupitia wasaidizi wake
tangu aingi amekuwa akisafiri na kusafiri na katika bajeti iliopita watu walilalmika sana fedha zilizotumika
majuzi alikuwa south africa ,amerudi ameenda sudan ,kama si jana naona picha yake akiwa sychelles na mmoja wa wakeze
nimejiuliza jamani hivihyuu ni mtanzania na kama kweli huko nje mbona awamchoki

iweje raisi ratiba zako zote weewe ni kuznguka tu moshi arusha moro unasikika mei mosi jamani
embu tusaidie kwa hili mh rais??

Mkuu hii mikoa kwenye RED huwa alishaachana nayo. Arusha alifika mara ya mwisho mwaka kama si Januari akaenda Monduli kuwavika nishani wanajeshi na hakupita barabarani nafikiri alitua KIA au uwanja wa Arusha ili asionekane na wana -Arusha kama ilivyokuwa kawaida yake miaka ya 2005 hadi October 2010. Kikwete ana miezi 6 kama si 7 hajakanyaga hapa Arusha kwa Godbless Lema. Kuanzia 2005 hadi 2010 kila mwezi mkuu huyu wa kaya ilikuwa lazima afike Arusha au kwa shughuli za kiserikali au zake binafsi au kutembelea marafiki zake.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom