Hivi profession ya Nape ni nini?!

imagine una watoto watano, mtoto wa kwanza umempeleka st.marry's international school, wa pili umempeleka shule ya msingi ilala kikaangoni pale kajambanani, mtoto mwignine umempeleka kijijini kwa bibi akasome huko anatembea ila viatu, mwingine umempeleka kwa shangazi yake matombo morogoro kijijijni hadi amesahau kama huwa kuna chai/breakfast hapa duniani, kwani anaamkia ugali asubuhi....ikatokea mtoto yule wa St. marrys anagoma ati kwanini humnunuliii viatu vipya, anagoma pia kula wali na maharage anataka samaki na nyama ya kuku kila siku.....hapohapo wale watoto wengine wasio hata na viatu wapo tu wanashindwa hata pa kuanzia kwasababu UMESHATANGAZA KWA WATOTO WOTE KUWA HOME HAPA HAKUNA HELA, HIVYO TUTAANZA KULA DAGAA MTINDO MMOJA NA ALIYE NA VIATU AU NGUO AZITUNZE KWANI HUTAWANUNULIA KWA MUDA MREFU HADI UPATE HELA, mara mtoto yule wa st. mary]s anagoma kwenda shule na anaanza kuvunjavunja vyombo kabatini, hapohapo na wale wa kijijini ambao hawana hata viatu au nguo nzuri au shule nzuru kama ya yule wa st. marrys wanatangaza kuwa basi na sisi tutaanza fujo ili baba utuhududmie kama unavyomhudumia huyu mwenzetu wa st. marrys...WEWE KAMA BABA UTAFANYA NINI?....kama una akili, cha kwanza ni kumtoa yule wa st. marys aende shule ya bei rrahisi, alafu ile balance inayobaki baada ya kumhamisha shule utawaleta wale toka kijijini na wasome shule ya kawaida lakini ya afadhali...pia utaanza kuwapikia na msosi mzuri walau mara mbili kwa wiki etc na nguo utawanunulia....hivi ndivyo ilivyo picha ya madoctor, ambao akimaliza tu degree akianza kazi anapata laki tisa...mwalimu anapata laki tatu, polisi laki mbili na nusu....hivi madoctor wanaakili kweli?

USALAMA WA TAIFA UKO WAPI? KWANINI HIVI VINYANGARIKA VINASUMBUA NCHI NA NINYI MMEKAA KIMYAAAA?
Mfano wa kijinga na maelezo ya kijinga kabisa.
 
labda nape atuambie yeye anaona njia mbadala au sahihi ilikuwa nini? alitaka madaktari wafanye nini?
 
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.

Yan kwel we ni zuzu sasa mbona hujajibu swali uliloulizwa.
 
.......Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka.......
Nape,
Tupo wengi ambao hatuna chama ingawa hapo awali tulikuwa CCM. Hatuichukii CCM bali tunawachukia wanaoiongoza hivi sasa kutokana na matendo yao yasiyofanana na CCM ya Mwalimu (RIP).

.......kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

  1. Ni vizuri kuwa una ubavu wa kunatamba kuwa umesoma lakini ajabu hutuambii kuwa umesomea nini, wapi na kwa kiasi gani, why? Siku hizi hata wenye vyeti vya vyuo feki wanajiita wasomi. Ingekuwa vizuri ukaweka wazi hiyo elimu yako na uzoefu wako ili tuwe na uhakika kuwa huongei pumba.
  2. Urithi mkubwa aliokuachia baba yako ni JINA la Nnauye na sio elimu. Kwa jina lako tu ungeweza kupewa madaraka hata kama ungekuwa kihiyo. Wako wengi wenye elimu kuliko wewe lakini hawatambuliki mbele za akina JK n.k. na wanasota tu. Ndio maana tuna baharia mmoja mtandaoni mwenye jina nono kama la kwako alikuwa na ubavu wa kututambia kuwa JK atampa ubunge wa kuiwakilisha nchi, sio kijiji, kwenye EAC.

Yako mengi ya kujadili kuhusu madaktari lakini tuanzie hapo kwanza.
 
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.

hujajibu swali?proffesional yako ni nini? we unaanza kuleta mangonjera hapa!! hivi unafikiriaga unachoulizwa au unalipuka tu....ndo maana ulifukuzwa kushiriki kampeni igunga kwa ajili ya kiherehere chako...vipi shemeji bado anafundisha bagamoyo au?!!
 
Uzushi mwingine ni wa ajabu sana, wewe vya kwako viko wapi mpaka ummseme Nape? Mie nakujua wewe sio wa kusema, hata wezi kama wewe sikuhizi mnapanua midomo????? Makubwa, tumekwisha ka mpaka vibaka wanasema sikuhizi mbele za watu!!
Chiume wacha kumsemea mtu ni lini mtaacha kujipendekeza pendekeza kwa wanaume.
Na mashaka na jinsia yako sana.
 
Last edited by a moderator:
Ah, hapa ndipo huwa naona kweli CCM inakufa kweli, yaani mtu mkubwa kwenye chama kama hiki anashindwa kusema amesoma nini? Mwigulu ni afadhali maana yeye amesoma uchumi sasa wewe Nape na wewe tuambie umesoma nini basi humu huo urithi wa baba yako? nashindwa kuendelea kusubiri, au hujasoma si unasema tu kwani shida iko wapi? huwezi hata kufukuzwa maana urithi wako mkubwa zaidi ni jina lako usiogope. TELL US YOUR PROFESSION japo kuna watu hawana profession unaweza anzia hapo, maana mtu wa sociology hana profession, hata mathematics is not a profession, ila pia unaweza sema mimi nimesoma History ukamaliza hili, TELL us please. Umekurupuka mwenyewe sasa malizia mkorogo wako.
 
Mh. Hiyo ndiyo profession yako? Mbona swali ni fupi na rahisi lakini maelezo ni mengi yasiyokuwa na majibu? Tunajua umesoma lkn TUELEZE WEWE NI NANI KITAALUMA?
 
imagine una watoto watano, mtoto wa kwanza umempeleka st.marry's international school, wa pili umempeleka shule ya msingi ilala kikaangoni pale kajambanani, mtoto mwignine umempeleka kijijini kwa bibi akasome huko anatembea ila viatu, mwingine umempeleka kwa shangazi yake matombo morogoro kijijijni hadi amesahau kama huwa kuna chai/breakfast hapa duniani, kwani anaamkia ugali asubuhi....ikatokea mtoto yule wa St. marrys anagoma ati kwanini humnunuliii viatu vipya, anagoma pia kula wali na maharage anataka samaki na nyama ya kuku kila siku.....hapohapo wale watoto wengine wasio hata na viatu wapo tu wanashindwa hata pa kuanzia kwasababu UMESHATANGAZA KWA WATOTO WOTE KUWA HOME HAPA HAKUNA HELA, HIVYO TUTAANZA KULA DAGAA MTINDO MMOJA NA ALIYE NA VIATU AU NGUO AZITUNZE KWANI HUTAWANUNULIA KWA MUDA MREFU HADI UPATE HELA, mara mtoto yule wa st. mary]s anagoma kwenda shule na anaanza kuvunjavunja vyombo kabatini, hapohapo na wale wa kijijini ambao hawana hata viatu au nguo nzuri au shule nzuru kama ya yule wa st. marrys wanatangaza kuwa basi na sisi tutaanza fujo ili baba utuhududmie kama unavyomhudumia huyu mwenzetu wa st. marrys...WEWE KAMA BABA UTAFANYA NINI?....kama una akili, cha kwanza ni kumtoa yule wa st. marys aende shule ya bei rrahisi, alafu ile balance inayobaki baada ya kumhamisha shule utawaleta wale toka kijijini na wasome shule ya kawaida lakini ya afadhali...pia utaanza kuwapikia na msosi mzuri walau mara mbili kwa wiki etc na nguo utawanunulia....hivi ndivyo ilivyo picha ya madoctor, ambao akimaliza tu degree akianza kazi anapata laki tisa...mwalimu anapata laki tatu, polisi laki mbili na nusu....hivi madoctor wanaakili kweli?

USALAMA WA TAIFA UKO WAPI? KWANINI HIVI VINYANGARIKA VINASUMBUA NCHI NA NINYI MMEKAA KIMYAAAA?

Na isitoshe madaktari wa serikali wapo wapo tu mahospitalini hawafanyi kazi yeyote wengi wao hupiga soga na kusubiri muda wa kwenda kwenye mahospitali binafsi na wengine kusubiria hongo ili watibu mgonjwa. Ndio maana hospitali za serikali matibabu ni hafifu sio kwa sababu ya ukosefu wa vifaa bali ni kutowajibika kwa madaktari. wagonjwa wengi hufia mapokezi na kwenye foleni sio kwa ugonjwa wa moyo wala kansa wala ajali bali ni magonjwa yasiyohitaji vifaa vya juu kama uti wa mgongo, mwanamke kutaka kujifungua, mtu kanywa sumu au malaria.

Madaktari hospitali za serikali fanyeni kazi kwanza ndio muweze kuwa na "moral authority" ya kudai mafao zaidi sio kufika mnasaini vitabu na story nyingi wagonjwa wanakufa wasioweza kutoa rushwa au wasiojuana na watumishi wa hospitali, madawa ya hospitali mnayauza au kuyapeleka kwenye maduka yenu binafsi ya madawa halafu mnapiga kelele nyongeza za mishahara under what criteria?
 
nasikia huyu jamaa ni form four leaver,kama anabisha atuwekee CV yake hapa mwenyewe.badala ya kujibu suala la elimu yake ametuwekea maneno ya taraabu kama kawaida yao.
 
Unahakika na usemayo?!!?? Unawajua waliomteka na kumtesa Ulimboka?! Tuje kuchukua ushahidi?! Kwanini tusiamini kuwa mmefanya hivyo nyie kwasababu za kisiasa?!! Mwogopeni Mungu!! Uzuri hakuna siri soon itajulikana!!

Bw. Mnauye ,

Sitaki kuingilia Uhuru wako na kwa jinsi ulivyoandika Naweza kutambua upeo wako. Nakuomba ujibu swali wewe una elimu ya Kiwango gani? It a simple question au umesomea kitu gani au unatembea kwa kutumia Kivuli cha Marehemu Baba yako aliyekuwa kada maarufu Tanu na CCM god forbid?

Tafadhali Jibu ndipo tuanzie hapo kujenga hoja vinginevyo Liwalo na Liwe. Just be a young man of your own period!
 
Huyu jamaa kweli *****,yaani unataka tuweke id zetu za ukweli ili iweje??? Tunajua mnanguvu na hela mnazo,hii serekali ni yakidikteta ndio maana watu tunaishi chugachuga kama vile wezi wanavyo ishi na maaskari.hakuna mjinga wa staili yako hapo aji expose kwa kuweka majina yake ya asili.kusoma sio kuelimika dogo,wewe bado sana tena hukustaili kusema umesoma,umeona wapi kuna msomi anafanya kazi ya propaganda?? Ndio maana nikahoji profession yako sio kutueletea maelezo mengi hapa yasiyo na tija.tueleze profession yako ni nini??
 
Njia nyingine kama ipi? au kama ya wale wastaafu wa EAC, kwenda mahakamani? hongera kwa kurithishwa elimu na babako...nyie mnarithisha nini sasa? hatred, kwa mfano wewe binafsi unawachukia wachaga and you said it, endeleeni tu kueneza ukabila na udini ili mcling kwenye power ambayo nayo mmekuwa useless.

nape anawachukia vp wachaga?
 
Nakuomba nape unijibu swali langu unasema kuwa madaktari wanasomeshwa bure utadhani hizi ni enzi za mwalimu ? Mimi mwannangu nimemsomesha tangu chekechea mapaka akawa daktari na ni miongoni kwa hawa watoto ccm inaowaona wanaikosea adabu kwa kugoma na kuwaua, mamabo ya kusema wamesomeshwa bure na taifa yamepitwa na wakati, . Ni juhudi za mtoto na kujituma pamoja na mimi kughalimia shule yake ndio daktari sasa. Mambo ya bure yameisha , kama huwezi kuwaajiri kama serikali wafukuze , lakini sio kuwaua
 
Back
Top Bottom