Hivi polisi wa ARUSHA hawaishi uswahilini!

utiyansanga

JF-Expert Member
May 19, 2010
213
7
Mambo ya ARUSHA yanaumiza sana !nauliza hawa polisi wa Arusha kwani hawaishi uswahilini kama hapa Dar !( unajua hayamabo yanazidi watu wanakufa hakuna hata mkuu wa nchi alitoa pole kwa wafiwa !eti wanaongea na mabalozi kuwa ilikuwa bahati mabya! mabolozi ndio inawauma zaidi kuliko watanzania)
.Kama wapo uswahili tuwafanyeje ili kesho wasitii upumbavu !
 
mbona tangu last wk tumeshaanza kuwatenga no lift no bia za ofa, hata akiwa nashida no msaada, hadi waombe msamaha public
 
Sumu kwenye bia, ukizingatia wengi wao ni walevi mbwaa wala ndumu
 
hata kwenye mazishi hawakuudhulia iweje kuwapa pole wafiwa. WAMEKAUKA UTADHALI WALIUA MBUZI!! WASHENZI SANA NDO MAANA NAICHUKIA SISIM, NAMCHUKIA JIKE
 
mapolisi hao hao sisi ndiyo tunawasaidia buku mbili mbili mabarabarani na kwenye viduka vyetu wanatukopa sukari, chunvi, sabuni ili wapate kujikimu na mishahara yao midogo, leo ndiyo wametugeuka na kuanza kutuua - tunao mitaani subiri tutawaonyesha jeuri yetu - watakwenda kukopa mchele na sukari kwa makamba aliyewatuma watuue.
 
Mambo ya ARUSHA yanaumiza sana !nauliza hawa polisi wa Arusha kwani hawaishi uswahilini kama hapa Dar !( unajua hayamabo yanazidi watu wanakufa hakuna hata mkuu wa nchi alitoa pole kwa wafiwa !eti wanaongea na mabalozi kuwa ilikuwa bahati mabya! mabolozi ndio inawauma zaidi kuliko watanzania)
.Kama wapo uswahili tuwafanyeje ili kesho wasitii upumbavu !

kisasi tumwachie Mungu yeye ndiye anayejua,ila kwa ubinadamu tulionao inauma sana.
 
Sumu kwenye bia, ukizingatia wengi wao ni walevi mbwaa wala ndumu
ffu wa arusha wengi ni walevi wa gongo lkn nimejaribu kufatilia kwenye picha sikubahati kufahamu hata mmoja nasikia wengi wao
Walitoka ccp na wilaya jirani kama monduli, arumeru nk
 
Am telling you brothers, this will never end, until they stand and say we are sorry in the public...we are the ones who supports them almost for everything.
these people did not dare to come to the ground yesterday...damn!!!
 
Jamani tunatakiwa kuichukia serikali nzima (dola) na sio polisi pekee. Si sawa kuwachukia polisi na kuwakusudia mabaya wakati wenzao ambao ni waasisi wa yote yaliyotokea mnawanyamazia kama wao hawakuhusika.
Polisi daima wao ni kama mbwa. Ukimuamlisha kamata, haulizi, anang'ata hapo hapo. Wasameheni jamani.
Pia na nyinyi Polisi jamani kuweni na akili japo kidogo. Mtu anakuamrisha upige babako na kweli unapiga?
 
Ni kweli Mkuu,
Lazima tuhangaike na chanzo cha yote hayo, kwani Polisi wako ngazi ya chini kabisa (watekelezaji)
 
Jamani tunatakiwa kuichukia serikali nzima (dola) na sio polisi pekee. Si sawa kuwachukia polisi na kuwakusudia mabaya wakati wenzao ambao ni waasisi wa yote yaliyotokea mnawanyamazia kama wao hawakuhusika.
Polisi daima wao ni kama mbwa. Ukimuamlisha kamata, haulizi, anang'ata hapo hapo. Wasameheni jamani.
Pia na nyinyi Polisi jamani kuweni na akili japo kidogo. Mtu anakuamrisha upige babako na kweli unapiga?

Watumie na akili zao pia kama Mbayuwayu!!
 
kama kuna mwana jamii anajua kupiga roba bora awapige hata walau roba ya mbao
 
Back
Top Bottom