Hivi nyie wasichana/wanawake mpoje?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
Wasichana / wanawake mpoje? Mkitongozwa kwa kuambiwa ukweli mnatukataa lakini mkitongozwa kwa kudanganywa ndiyo mnatukubali! Na sasa tutawadanganyeni hadi mkome kudadadeki zenu.

Kwa mfano mwanamke ukimwambia kuwa mimi naitwa Gentamycine, maisha yangu ni ya kawaida tu leo ninazo kesho sina ila napambana tu kimaisha katika kutafuta mtonyo hivyo kama utaona nakufaa ni heri karibu tuanzishe malividavi.Hapa ukimpata huyo msichana katambike kijijini kwenu Kyaka Nkunde.

Lakini ukimwambia mwanamke kuwa unajua dada mimi Gentamycine nimekupenda kupita maelezo na sina tatizo kuishi nawe ukizingatia kuwa nina mali za kutosha kuanzia zile meli zote unazoziona kule baharini hazitii nanga Bandarini hadi ruhusa yangu.

Halafu na yule tajiri Dangote nina ubia nae na kama hiyo haitoshi pikipiki na bajaji zote hapa Dar ni mali zangu.Hapa Ukimkosa huyo demu basi wewe una nuksi au gundu la kiasili, ila kwa sumu za aina hiyo utahondomola wasichana wa kibongo hadi uchoke / ushindwe mwenyewe.

Dada zetu msitulaumu kwani mnatufundisha uwongo na ujanja huu nyie wenyewe na mtatukoma.Badilikeni mnatuumiza.
 
Kumbe mashairi yote hayo kwa ajili yakugegeda na si kuoa!!! utawapata hao hao

Hata Wewe Huyo Shemeji Yetu Na Yeye Alikupata Kwa SUMU Hizi Hizi Za Kukudanganya Na Ukajaa Kingi AKALA Mzigo Na Sasa Kakuoa.
 
Waliumbwa hivyo, ukimuingia na upendo wa ukweli unammboa na atakuita king'ang'anizi ila ingia kwa hit and run uone atavyokuganda!! Tuwapende tu, ni wakwetu hawa hata awe Jemedari wa jeshi we mdanganye kuwa wewe ni mkuu wa majeshi atakukubali tu!!
 
Hata Wewe Huyo Shemeji Yetu Na Yeye Alikupata Kwa SUMU Hizi Hizi Za Kukudanganya Na Ukajaa Kingi AKALA Mzigo Na Sasa Kakuoa.

Mkuu mimi kauzu alipokuwa akiimbisha sikushika jani hata moja zaidi yakumwangalia usoni pili sikukutanae barabarani
 
Wasichana / wanawake mpoje? Mkitongozwa kwa kuambiwa ukweli mnatukataa lakini mkitongozwa kwa kudanganywa ndiyo mnatukubali! Na sasa tutawadanganyeni hadi mkome kudadadeki zenu. Kwa mfano mwanamke ukimwambia kuwa mimi naitwa Gentamycine, maisha yangu ni ya kawaida tu leo ninazo kesho sina ila napambana tu kimaisha katika kutafuta mtonyo hivyo kama utaona nakufaa ni kheri karibu tuanzishe malividavi.Hapa ukimpata huyo demu katambike kijijini kwenu Kyaka Nkunde.

Lakini ukimwambia mwanamke kuwa unajua dada mimi Gentamycine nimekupenda kupita maelezo na sina tatizo la kuishi nawe ukizingatia kuwa nina mali za kutosha kuanzia zile meli zote unazoziona kule baharini hazitii nanga Bandarini hadi ruhusa yangu, halafu na yule tajiri Dangote nina ubia nae na kama hiyo haitoshi pikipiki na bajaji zote hapa Dar ni mali zangu....Hapa Ukimkosa huyo demu basi wewe una nuksi au gundu la kiasili, ila kwa sumu za aina hiyo utahondomola mademu wa kibongo hadi uchoke / ushindwe mwenyewe.

Dada zetu msitulaumu kwani mnatufundisha uwongo na ujanja huu nyie wenyewe na mtatukoma.........Badilikeni Mnatuumiza!

We kiumbe, kwani aliyekwambia ukimtongoza mtu lazima akubali ni nani? siwezi kukubali kama sijakupenda, no kulazimishana, na hao unaowaona ukiwadanganya kwa kuwaambia ndege zote za kimataifa unamiliki wewe, usiwafananishe na wale wanawake wanaojitambua na kujithamini, wachache tupo tunajithamini.

Ukimpata huyo wa kudanganywa jua unaendesha gari bovu huku nyuma unabakwi unachekwa na rafiki zako we unaendelea ukijua sifa, kumbe umeliwa. pole.
 
We kiumbe, kwani aliyekwambia ukimtongoza mtu lazima akubali ni nani? siwezi kukubali kama sijakupenda, no kulazimishana, na hao unaowaona ukiwadanganya kwa kuwaambia ndege zote za kimataifa unamiliki wewe, usiwafananishe na wale wanawake wanaojitambua na kujithamini, wachache tupo tunajithamini.

Ukimpata huyo wa kudanganywa jua unaendesha gari bovu huku nyuma unabakwi unachekwa na rafiki zako we unaendelea ukijua sifa, kumbe umeliwa. pole.

Acha Uongo.Hata Kama Unajitambua Vipi.Utampata Mjanja Wako Tu Atakae Kulisha Sumu Na Utaingia Kingi.Wanawake Hamna Dhamana Hata Kidogo.Kwanza Akili Zenu Ni Nusu Ya Mwanaume
 
Mwanamke umwambie ukweli imekula kwako maana kwao ukweli ni sumu sna uongo ndio mahali pake hadi anacheka mwenyewe na anajua kua anadanganywa ila fresh kabisa na utapewa vyote
 
Back
Top Bottom