Deodat
JF-Expert Member
- Sep 18, 2008
- 1,274
- 272
hivi-nyie-wanawake-mtaolewa-na-nani?
Nature ina majibu mazuri sana kwa hilo swali lako la kipu.mbavu.
hivi-nyie-wanawake-mtaolewa-na-nani?
Kwanza huwa sisomi sana thread za Lizzy kwa sababu nyingi zimejaa nadharia za kufikirika. Tatizo wewe unazungumzia kitu ambacho in reality hakiwezi ku-exist. hebu angalia uhalisia. wanawake wanao wakati mgumu sana linapokuja swala la kutaka kuolewa, huo ndio ukweli. Mtabisha hapa, lakini ukweli utabaki kuwa huo. zamani wengi walikuwa wanaamini kuwa ndoa za mitala ni huko vijijini, lakini siku hizi hata mijini ndoa za mitala zipo lakini zimekuja kwa staili ya aina yake, wenyewe wanaita nyumba ndogo, na wanawake wengi wamekuwa wakiingia katika uhusiano wa aina hii kwa sababu wanaweza kuwa na uhusiano wa aina hiyo na wanaume hata watatu, wanachofanya ni timing tu Na wanaume wenye ndoa zao hususan wale wa ile dini isiyoruhusu ndoa za mitala ndio wanaoangukia katika staili hii mpya ya uhusiano na wanawake wengi. haihitaji kutumia akili ya watengeneza Compyuta kulitambua hilo!kwanza,angalia hao wanawake wanaong'ang'ania wanaume ni wa aina gani(hawajaijui thamani yao)regardless the social status...pili,refer to lizzy's thread ya mwanamke kamili,..tatu,refer tena to the thread ya mwanaume kamili,usione unang'anga'niwa na wanawake ukafkiri we kidume kaka,there is more to know than what reaches your eyes,ni sawa na msichana anaefwatwa sana..so,equilibrium ya mungu itabaki pale pale.
....There is an estimated 20 million Chinese males who can not find female partners. This is a lot of testosterone for one country and the propobality of civil war is very high – 20 million horny men! Naturally they have to diversify. No harm though!...
Tungewagombea hao waliopo, na hata ushindani wa kuwapata ungekuwa ni mkubwa pia.Ingekuwaje kama wanaume wangekuwa wengi kuliko wanawake.
Pamoja na hiyo equilibrium unayioizungumzia, hivi huoni jinsi wanaume wanavyowashikisha adabu wanawake na bado wanang'ang'ania tu kuwaganda kama luba! na hao wanaume wa mataifa mengine ulioyataja, kwani kwao hakuna wanawake, kama ingekuwa ni rahisi kiasi hicho basi si mngeolewa. wakati unasema kuwa wapo wanawake ambao hawapendi kuolewa, lakini ukumbuke kuwa wanaumia ndani kwa ndani ni vile tu hawasemi. Kwa taarifa yako wanatamani sana kuolewa ni vile tu hawawezi kusimama hadharani na kupiga mayowe.
Ukianagalia ndoa nyingi wanaozifanya zidumu ni wanwake na wanaume hawana muda huo, wao wanajua kuoa tu lakini jukumu la kulinda ndoa na kunyenyekea ni kazi ya mwanamke. unajua ni kwa nini? ni kwasababu wanwake wanajua kwamba ndoa ikivunjika ni wao wamepoteza na sio wanaume!
Una miaka mingapi?kwani maisha ni kuolewa
kuolewa ni basic need ya human being?
Nadhani mimi na wewe are not in the same page kwenye kuelewa the meaning of a real woman and a real man..
Angalia hao wanaostick to men wanaowafanyia visa ni wanawake wa aina gani(naongelea ambaye ananyamaza tu kwa kila baya)mara nyingi hajitambui(regardless the social status..and ogopa sana mwanamke anakunyamzia tu kwa kila baya ufanyalo as if nothing happend(you will pay dearly)..
Pia mwanaume kung'ang'aniwa na wanawake isikufanye ujione kidume,there are two things involved,either you are too good or too stupid and most likely the latter.
Refer to lizzy's threads za mwanaume na mwanamke wa kweli..hapo kwenye bold maana kwakweli umenifanya niwe speechless,ati men dont have time to work on their marriages(so lame)..sema WEWE huna muda.
Namalizia tu kwa kusema,equlibrium ya Mungu itakua palepale regardless machafuko ya hii dunia,.
kwani maisha ni kuolewa
kuolewa ni basic need ya human being?
Ok my dear Tracy, now follow the list-
Ni nani anayeposa?
Ni nani anayelipa mahari?
Ni nani anayeoa?
Ni nani anayeambiwa kuwa ndiye kichwa cha nyumba?
Ni nani mwenye kuamua kama ndoa hii iwe au isiwe?
Another thng wanawake 2napenda mwanaume mwenye uwezo kifedha, weng wenu hamna mbele wala nyuma ndo mlojaa mijini.
Ok my dear Tracy, now follow the list-
Ni nani anayeposa?
Ni nani anayelipa mahari?
Ni nani anayeoa?
Ni nani anayeambiwa kuwa ndiye kichwa cha nyumba?
Ni nani mwenye kuamua kama ndoa hii iwe au isiwe?
Kwanza huwa sisomi sana thread za Lizzy kwa sababu nyingi zimejaa nadharia za kufikirika. Tatizo wewe unazungumzia kitu ambacho in reality hakiwezi ku-exist. hebu angalia uhalisia. wanawake wanao wakati mgumu sana linapokuja swala la kutaka kuolewa, huo ndio ukweli. Mtabisha hapa, lakini ukweli utabaki kuwa huo. zamani wengi walikuwa wanaamini kuwa ndoa za mitala ni huko vijijini, lakini siku hizi hata mijini ndoa za mitala zipo lakini zimekuja kwa staili ya aina yake, wenyewe wanaita nyumba ndogo, na wanawake wengi wamekuwa wakiingia katika uhusiano wa aina hii kwa sababu wanaweza kuwa na uhusiano wa aina hiyo na wanaume hata watatu, wanachofanya ni timing tu Na wanaume wenye ndoa zao hususan wale wa ile dini isiyoruhusu ndoa za mitala ndio wanaoangukia katika staili hii mpya ya uhusiano na wanawake wengi. haihitaji kutumia akili ya watengeneza Compyuta kulitambua hilo!