hivi nyie wamama kwanini hampendi kujulikana kama mumezaa??

Katika comment zako zote tangu umeingia Jf leo umeongea Point kuliko zote! (source maoni yangu! ) Sema umesahau kututonya kua nae honey wako nae utamu wake kwako una' add ? Au una' mines ?
Hapo tn ndo hata hapasemeki, mana huimba aleluyah mpk akaniziba mdomo.
Raha, utam, raahaaa, utaaaammmuuuu!!
 
Huyo dada lazima atakuwa na tabia mbaya kwa mumewe, kama vile lugha mbaya au wakati ananunua hilo gari, mume alimtaka asinunue kwa kuhofia kushindwa kulihudumia, lakini mama alilazimisha! Ndo maana anamwambia kama uliweza kununua gari, utashindwaje mafuta? Kama anamkomoa vile baada ya kutosikiliza ushauri wake wakati wa kununua hilo gari!
 
Sio wote wanao ficha mie wa kwanza ntakwambia kama nna watoto tena nawaongeza ili ukimbie,nasikia rafaja sana kua MAMA....

mr.ebbo Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. lakini umekosea, yeye alikua anasema baada ya dhiki ni fajara. Mia
 
Back
Top Bottom