naona julius ndani ya nyumba..........
naona julius ndani ya nyumba..........
Mpe Hi! was one of my role model
Ndg siku hizi umekuwa mpole sana kulikoni? umeokoka?I'm humbled.
I'm humbled.
Nina Mashaka sana kama tuna Akina dada/wanawake humu ndani ya jamvi. Kuna watu wanajifanya wanawake, na kisha wanaishia kuwazingua akina Chrispin, Masanilo, Nguli, Fidel180, Geoff na Wakware Wengineo waliobobea kwa kupenda Avatars!.
Hebu tazama mabandiko yafuatayo:
Jamani nimecheeeeeeka ..hivi kweli utataka ujue huwa anafanyiwaje kama anapewa kisamvu cha kopo na wewe utaamua kumfanyia mkeo ili asiend huko anakoenda
-- Firstlady
na sisi tukitoka nyumba njia nzima tusipoitwa au kutongozwa tyunaenda kwa wanganga kwa nini? usiposemesha na mwananume ukirudi unajiangali una kasoro gani?jamani hata bibilia imesema kuwa mwanamke ni pambo hivyo hakuna jinsi inabidi tukubali yatokanayo tu.
Kwakuwa usipotongozwa utasema unagundu,
Usiposemeshwa na mwanaume itabidi ujiangalie kwenye kiooo
Why?????kwa nini?twawasingizia wanaume kuwa ndo wasumbufu????
-- Chaku
We! kwa hiyo unataka kuniambia mimi natamani hicho kitovu hata siku moja,nikitokea hapo utashikwa kigugumizi.
--Joyceline
Kuna wengine kibao kama akina VeraCity, Pretty, WoS, Nyamayao, Agika, Msindima etc, ambao mimi binafsi nina`doubt sana ujinsia wao, japo wameamua kujitambulisha kuwa wao ni -ke!
Kama akina dada mpo, basi mnisamehe,... tucheke tunenepe, wikiendi hii jamani, lol!
lol!Yamekuwa hayo tena ya kutaka kuhakiki.Naomba unionyeshe basi maana hata yule mwanariadha wa SA, Semenya alileta utata!
lol!Yamekuwa hayo tena ya kutaka kuhakiki.
Hapa JF watu tumekuwa tukificha Identity, sasa mimi nashangaa inakuwaje watu mpo concerned sana na jinsia za watu? maana kama hujajua jina langu kwanini ujue kama mimi she/he nadhani hiki kijiwe ni kijiwe cha hoja na sio nani katoa hoja bali hoja imakaaje? Mbona watu wanatumia Avatar za nyani hajawahi hata siku moja kuwaluliza kama ni watu au wanyama?
Makubwa bythe way ngoja niingie bafuni kuchungulia jinsia yangu nikija nitasema Wknd njema!
hili kweli linawezekana kama watu wanaficha majina yao watashindwa kuficha jinsia, kama ipo tubadilike
JF kinachojalisha ni michango tu katika majadiliano.Kama mtu ni mwanamke, mwanaume au vyote isiwe hoja.Kwani baada ya kujua jinsia ya mtu halafu iweje?
Ni Pm nije nikusaidie kuhakikisha kama hadi uende bafuni ndo ujue huenda inautata inawezekana ukawa hermaphrodite we haujui tu kama umejaliwa.
Makubwa bythe way ngoja niingie bafuni kuchungulia jinsia yangu nikija nitasema Wknd njema!
Ha ha ha ha MR, umenichekesha sana! LOL! ukiziona jinsia mbili tofauti basi wewe ni Semenya...