Hivi nyie ni Akina Dada kweli au...?

Tehe......!
Sasa unajua hiyo supu ndo mbaya zaidi, maana itaku`lead kwenye kutaka nanihiino tena! So you will go back to square one! Kazi unayo mkuu!

Baba kwa kweli mimi napenda sana pombe kuliko chochote......kwenye kabati langu la baridi kuna ulabu mwingi kuliko msosi...wadada hawanipi shida sana ingawa huwa nawazimikia kimtindo!
 
I need a soft touch kujua ukweli kwa waniaba ya wenzangu! Nitawahabarisha

Mchungaji kanisa nusura lisarambatishwe na mapepo. Nilikuwa na katekista tunapambana wanakondoo wasipotee. Tafadhali fanya mambo uwarudishe kundini.
 
Baba kwa kweli mimi napenda sana pombe kuliko chochote......kwenye kabati langu la baridi kuna ulabu mwingi kuliko msosi...wadada hawanipi shida sana ingawa huwa nawazimikia kimtindo!

PakaJimmy alikuwa anaomba nafasi katika kanisa letu. Tulikuwa tunasubiri baraka zako. Mchungaji angalia pepo anataka kukushinda nguvu. Unapenda sana pombe? Umesahau lugha yetu hatusemi pombe, ile ni divai au mvinyo.
 
Nikiandika pombe isomeke ni mvinyo !!PakaJimmy anakaribishwa kundini ila awe na heshima kwa Mch kiongozi na kumtetea na kumzogezea wale waumini wa jinsia ile nyingine.

Amen
 
Baba ndo naamka jana nilipombeka sana hapa nimepata supu ya mkia wa pweza ....nimengusha Serengeti kibao jana....!

Mkuu wetu upo? nimecheka sana, sa hizi ndio naingia humu, nilikuwa nimebanwa na ma report ya WAKABURU na deadline zao sio mchezo. Anyway PAKAJIMY u made my day bra siajabu kuna watu wanatuzingua humu kumbe ni wanaume nafikiri tuanze na mpwa Geof abadili avatar yake nasisimka mimi,
 
xspin whats up, wapi kunauzwa supu ya matikiti maji nile na mbegu zake niongeze chaji?
 
Mkuu wetu upo? nimecheka sana, sa hizi ndio naingia humu, nilikuwa nimebanwa na ma report ya WAKABURU na deadline zao sio mchezo. Anyway PAKAJIMY u made my day bra siajabu kuna watu wanatuzingua humu kumbe ni wanaume nafikiri tuanze na mpwa Geof abadili avatar yake nasisimka mimi,

shemeji nakupata,
hahahahahahah naibadili

huyu dem unamjua lakini?
 
shemasi naona unachungulia tu!unaiona avator yangu?unaweza guess?
 
Naishia kuangalia mdomo tu alivyouweka anaoneka tarumbeta anaweza sana. So sina nafasi ya kuangalia sehemu ingine ili nimtambue ....au nika B. Spears
 
huyo anaitwa JENNIFFER GARNER,ni leading actress wa ile series ya ALIAS,kama unapenda mamovie.mtoto mtamu sana.kuna jamaa alikuwa anamtafuna hadi nikawa nazima deki
 
Back
Top Bottom