Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,125
- Thread starter
- #21
Mkuu@Young_Master Kwa tendo la Serikali kuleta sarafu inaashiria Thamani ya pesa ya Tanzania imeshuka, na kadri tunavyokwenda itazidi kushuka sio muda mrefu kuanzia sasa kunako mwaka 2015 au baada ya miaka 5 kuanzia sasa pesa ya Tanzania itakuwa haina thamani mimi ninatabiri hivyo.Kwani ni vigezo gani vinavyoonyesha kuwa thamani ya pesa imeshuka au imepanda?