Hivi njia gani inatumika kuomba kusomea ualimu kwa gredi ya diploma??

Unatakiwa uandike barua ya maombi wizara ya elimu na mafunzo nao watakupanga kwenye vyuo vyao vya serikali ,private omba chuoni moja kwa moja.
Ila nafiri serikalini walishaomba zaman hope d line imeshapita kama sijakosea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom