hivi nitachaguliwa kweli udsm wakuu?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
wakuu,niliapply kwenye cas-tcu,lkn nimekuta kozi nilizowekewa eligible ni bcom-finance ya udsm,economics-udsm na agro-economics ya sua na kila nikijaribu kubadilisha baadhi ya kozi nilizowekewa not eligible majibu yanakua ni yale yale not eligible.sasa naomba kuuliza kuna uwezekano kweli kwa mtu mwenye division 2.12 kuchaguliwa udsm au ndo nijihesabu nimeisha kosa chuo mwaka huu?mawazo yenu tafadhali
 
Kwa matokeo ya mwaka huu yalivyo mabovu,uhakika kwa kuchaguliwa udsm kwa marks hzo ni 80%,na ndo maana na wao wamekuambia uko eligible so usikate tamaa mkuu.
 
wakuu,niliapply kwenye cas-tcu,lkn nimekuta kozi nilizowekewa eligible ni bcom-finance ya udsm,economics-udsm na agro-economics ya sua na kila nikijaribu kubadilisha baadhi ya kozi nilizowekewa not eligible majibu yanakua ni yale yale not eligible.sasa naomba kuuliza kuna uwezekano kweli kwa mtu mwenye division 2.12 kuchaguliwa udsm au ndo nijihesabu nimeisha kosa chuo mwaka huu?mawazo yenu tafadhali

Unapo andikiwa ELIGIBLE inamaanisha umeingia katika mchakato wa uchaguzi, So usikate tamaa tumuombe mungu Mambo yawe safi
 
yah!!that true,wangekua hawamhitaji kabisa wangemuandikia not eligible kama mzumbe na udom walivofanya,bt kama wao wamemuandkia eligible basi ategemee kupata admission kati ya udsm au sua.
 
Back
Top Bottom